Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
hata isingekuwa slum ni mazingira mabovu.....yaani huku uswahilini kwetu nikuzuri tu tena sanahuyu jamaa hajielewi kayole ni slum anakwambia sio slum😀😀😀😀
hata isingekuwa slum ni mazingira mabovu.....yaani huku uswahilini kwetu nikuzuri tu tena sanahuyu jamaa hajielewi kayole ni slum anakwambia sio slum😀😀😀😀
ukikua utaacha wacha nikuache ukue maana naona sasa huna chakuzungumza😀😀😀Ni sawa haina shida....kongole kwa cousin yako kukimbia uchichole wa Dar na kukuja Nairobi, jiji kuu la Africa mashariki. Naamini hiyo gari ilitumia njia wala haikupaa angani. Bado nakuuliza, ulitumia barabara gani kutoka juja kuja mjini?
hehehe hio slum unasema bedsitter we nzima kweli yani huoni aerial view ya slum hapo??😀😀😀Hiyo sio bedsitter, that's a screenshot of an earial view. Vipi wewe!! Nashuku umekunywa mchuzi wa albino lunch imekulemea hadi hujui unachosema
hauoni njia hizo zipo zakupita na usafiri wowote ule.....kupo poa.tu tstizo ni bati tu hizo ndizo zinazo haribu ila hiyo sehemu ni bombaPugu,mgogoro rd, dar yote ni slum alafu unahaigaika na nairobi nini😀😀😱View attachment 785841 View attachment 785842 View attachment 785844
nicdThe most modern indoor arena in East Africa.
![]()
![]()
yaaani kuna mda bora muwe kimya tu wakenyaemeona mambo ya chini ya estate chakavu wanazotamba nazo kwa aerial view siuchafu huu jamani
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 785755View attachment 785756View attachment 785757View attachment 785758View attachment 785759View attachment 785760View attachment 785761

ILOVE NAIRIBI....WAKENYA WACHENI MAMBO YAKIJINGA yaani huu uchafu mlionao ndiyo mnajifananisha na DAR kweli......sijawahi kuyaona mazingira machafu na chakavu kama haya aisee
NAIROBI SWEET CITY CLASSIC CITY KIUKWELI MPO VIZURI
AT NAIROBI ESTATE STREET
KAMA CLASSIC CITY ZIPO HIVI BASI NAIROBI NO.1
ILOVE NAIROBEE![]()
![]()
View attachment 785787View attachment 785788View attachment 785789View attachment 785790View attachment 785791View attachment 785792View attachment 785793View attachment 785794View attachment 785795View attachment 785796View attachment 785797View attachment 785798View attachment 785799View attachment 785800View attachment 785801View attachment 785802View attachment 785803View attachment 785804View attachment 785805View attachment 785806View attachment 785807
Yani ulitoka Juja ukapitia Embu kukuja Nairobi!!!??? Hehehe Wewe unajua Embu iko wapi hapa kenya? Muda huu wote nilikuwa najua tu hujui unachkosema wala hujawahi kanyaga Nairobi ndo maana nilikuwa nakuuliza hayo maswali. Kazi yako ni kuporokwa tu bila ya kujua unachosema. In fact hujakanyaga nje ya mbagala Dar na huku unajifanya vile unajua Nairobi. Wewe unajua Nairobi kwa ndoto tu na labda kusoma kwenye vyomba vya habariukikua utaacha wacha nikuache ukue maana naona sasa huna chakuzungumza😀😀😀
nilikua napitia embu nairobi highway