Kwanini wakenya mnapenda vitu vya uongo? hapo siyo Dar ni Naijeria. Ongeeni ukweli tu. Sisi huwa tunaweka information toka kwenu huko huko. Inaonekana ni namna gani mnaiogopa DarDar es salaam
![]()
look at the difference, hio yenu ina dock kwa yard ya containers 😀
naona umekamata vyema kwenye makei😀😀Kwanini wakenya mnapenda vitu vya uongo? hapo siyo Dar ni Naijeria. Ongeeni ukweli tu. Sisi huwa tunaweka information toka kwenu huko huko. Inaonekana ni namna gani mnaiogopa Dar
Check link hii hapa:
Community Approach Against Open Defecation - THISDAYLIVE
View attachment 782447
we umeona isha dock hapo?? hvi mbona wewe akili zako ndogo sana😀😀😀😀look at the difference, hio yenu ina dock kwa yard ya containers 😀
heheh kuna mwingine alileta slums za sieralione akasema dar yani hawataki kuamini kama dar hakuna slums😀Hawa jamaa hawajiamini kabisa. Wanaleta taarifa za uongo. Huwezi kumuona mtanzania analeta taarifa kama hizo za uongo.
nairobi pekee kuna worse slums zaidi ya 25 heheh na zote ni heavy slums😀😀😀Wanatamani sana Dar es salaam ifanane na wao. Lakini hicho kitu hakiwezekanai.
And who told you that Dar will ever be like Nairobi. Nairobi is a respected regional hub while Dar is a glorified fishing village. Nairobi is the financial, economic, educational and political capital of east and central Africa. The number of multinational companies and UN agencies with their regional, continental and global headquaters in Nairobi is a clear manifestation of that. Don't ever imagine that Nairobi is playing in the same league as Dar; it will NEVER happen. Lanes pleasenairobi pekee kuna worse slums zaidi ya 25 heheh na zote ni heavy slums😀😀😀
hahhaha yani nairobi kufika sehemu dar ilipo inaeza wachukua 30yrs my friend utake usitake nilitegemea kwanza mupambane na slums pamoja na unemployments kwa vijana vitu ambavyo vinapunguza security ndani ya nairobi na nairobi hakuna security kwasababu vijana hawana ajira, hamutaku kuambiwa mambo ya msingi munaenda jenga 8 lanes mukasahau kuna kitu inaitwa BRT leo munshtuka munaanza kutoa povu kubwa bila aibu😀😀😀😀 mukajua BRT ni kama kula bajia tuAnd who told you that Dar will ever be like Nairobi. Nairobi is a respected regional hub while Dar is a glorified fishing village. Nairobi is the financial, economic, educational and political capital of east and central Africa. The number of multinational companies and UN agencies with their regional, continental and global headquaters in Nairobi is a clear manifestation of that. Don't ever imagine that Nairobi is playing in the same league as Dar; it will NEVER happen. Lanes please
Naona dawa imekuingia vizuri sana ukaamua kutoa povu ndoo nzima. Respect your elders. Nairobi sio rika ya hicho kijiji chenu cha uswazihahhaha yani nairobi kufika sehemu dar ilipo inaeza wachukua 30yrs my friend utake usitake nilitegemea kwanza mupambane na slums pamoja na unemployments kwa vijana vitu ambavyo vinapunguza security ndani ya nairobi na nairobi hakuna security kwasababu vijana hawana ajira, hamutaku kuambiwa mambo ya msingi munaenda jenga 8 lanes mukasahau kuna kitu inaitwa BRT leo munshtuka munaanza kutoa povu kubwa bila aibu😀😀😀😀 mukajua BRT ni kama kula bajia tu
hzo number multinational companies hazijapunguza ajira hata 2% yani huwez kunambia unemployment rate is 40% alaf unajisifu na multinational companies
maana hamupendi kuongelea mambo ya msingi yanayomgusa kila mkenya yani unaongelea multinational companies na hazikupunguza unemployment rate even by 2%, out of 50million kenyans 40% unemployed alaf unaongelea multinational companies we mzima kweli, hata jana sikuamini nilipoona even turkana wind project kumbe ni ya mzungu na atawauzia umeme wakenya😀😀😀😀😀Naona dawa imekuingia vizuri sana ukaamua kutoa povu ndoo nzima. Respect your elders. Nairobi sio rika ya hicho kijiji chenu cha uswazi
These are what your useless government has fed in their attempts ro paint a bad picture of Kenya. No wonder you guys follow Kenya's affairs like your last breath depend on it. We were comparing Nairobi and uswazi aka Dar ndo maana nikataja mambo niliyoyaja but yaonekana ngoma imekuwa mzito kwako ukaingia maswala ya kenya keupuka haibu. When you are ready to debate on matters Nairobi and Dar is slum, niambie. Ukitaka tuongee mambo ya kenya pekee pasi na Nairobi, fungua thread kisha uniambie. Adiosmaana hamupendi kuongelea mambo ya msingi yanayomgusa kila mkenya yani unaongelea multinational companies na hazikupunguza unemployment rate even by 2%, out of 50million kenyans 40% unemployed alaf unaongelea multinational companies we mzima kweli, hata jana sikuamini nilipoona even turkana wind project kumbe ni ya mzungu na atawauzia umeme wakenya😀😀😀😀😀