Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hehehe yani wewe kinachokuumiza ni kwann dar imepiga haraka maendeleo kwa muda mfupi na hamkutarajia kua hvo hicho ndio kinachokusumbua kichwa chako 😀😀😀😀😀😀 yani kwa developments speed sahau kabisa dar
a glorified village like Dar with shanties surrounding the city center haiwezi tuumiza kichwa. Sisi hapa Africa tunapambana na jo'burg, Lagos, Cairo, Tunis and such like cities. Nairobi is the most important city in this region so why should we care about a city still in diapers like Dar ambayo inatumia ukubwa wa eneo kama kigezo cha maendeleo? Number mtasoma kabisa
 
hahahaha 😀😀😀😀😀😀😀 wacha nicheke tu narudia neno langu kua speed of developments in dar hamutaikamata mpaka yesu anashuka eat that😛😛😛😛😛
 
a glorified village like Dar with shanties surrounding the city center haiwezi tuumiza kichwa. Sisi hapa Africa tunapambana na jo'burg, Lagos, Cairo, Tunis and such like cities. Nairobi is the most important city in this region so why should we care about a city still in diapers like Dar ambayo inatumia ukubwa wa eneo kama kigezo cha maendeleo? Number mtasoma kabisa
Na hiyo ndiyo shida inakufanya usiamini unachokiona Leo,

competing with Jo'burg,cairo,Casablanca,halafu unajenga rail ya 50's.

HOW??
 
Na hiyo ndiyo shida inakufanya usiamini unachokiona Leo,

competing with Jo'burg,cairo,Casablanca,halafu unajenga rail ya 50's.

HOW??
😀😀😀😀 anajengewa gari moshi ya 50s alaf anataka kushindana na casablanca au cairo wakati casablanca wanatumia electic train with speed of 320km/hr
 
Sometimes tuache kubishana na wahuni.
😀😀😀😀 anajengewa gari moshi ya 50s alaf anataka kushindana na casablanca au cairo wakati casablanca wanatumia electic train with speed of 320km/hr
 
Sometimes tuache kubishana na wahuni.
nchi zinakwenda mbele wao wanarudi nyuma miaka 50 hehehhee😀😀😀😀 upuuzi huu alaf wanataka kushindana na dar
C4A376FE-A00E-4A89-A68D-DA061480FEE0.jpeg
 
nchi zinakwenda mbele wao wanarudi nyuma miaka 50 hehehhee😀😀😀😀
Imagine mtu akwambie maendeleo si ukubwa wa eneo,wakati wataalamu wanaangalia mambo hayo kwa ujumla wake.

Ina maanisha kama kwa 1500km/sq dar inasomeka kuendelea kwa kasi zaidi,that means ni maendeleo ya kasi zaidi kwa jiji kubwa zaidi.ripoti Inge double kama ingekuwa ni 1000km/sq.

Then huyu asiyeweza kuona vitu vidogo namna hii,anaisifu elimu,wakati yeye ndiye ameisaidia elimu.
 
lakin leo hajiulizi kwann dar ina population of 4.5to 4.7m people lakin ina eneo la 1590km sq

wakat nairobi ina watu million 4 ina eneo la 690km sq hilo yeye hajiulizi😀😀😀😀😀
 
Bro inabidi umsadie,baad ya kusoma haya ndio atajua kwanini wenzie huwa wanakaa kimya.
lakin leo hajiulizi kwann dar ina population of 4.5to aa4.7m people lakin ina eneo la 1590km sq

wakat nairobi ina watu million 4 ina eneo la 690km sq hilo yeye hajiulizi😀😀😀😀😀
 
Achana na huyo jamaa atakuambukiza tu ujinga bure. In his stupid mind, he thinks a bigger town or city boundary equals development. That's epitome of ignorance. I can give him a million cities just here in Africa much smaller than that glorified village called Dar but a hundred times better. Take the case of Windhoek, Namibia which is around 690 kmsq but is way better than this thing called Dar. sometimes I tend to think that Windheok is even better than Nairobi. Not far from windhoek is Luanda, a city which is only 113 km squared but much more developed and advanced than Dar. Huyo ujamaa na uzalendo za kijinga zimempumbaza
Lets just be civilized here. Just because I call a spade by its name does not imply i dont love my city, tuache matusi
 
labda nikuelemishe nairobi and dar are developing cities and cape town is developed town wewe kipi hapo hujaelewa 😀😀😀😀

na capetown haikuanza maendeleo leo wala jana usifkiri ni kama dar au nairobi hehehhe
capetown imeanza developments hata kabla kenya na tanzania kupata uhuru wewe unaongea nn???😛😛😛😛😛

na nilishamwambia mwenzio dar es salaam is a fastest developing city in africa utake usitake upende usipende
Haya bhana... Unavunga huelewi swali..😀
Haina shida, siku ukinionyesha uhusiano kati ya ukubwa wa eneo na maendeleo ntakusikiliza, saivi ngoja nikupuuzie tu.
 
Back
Top Bottom