Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya bhana... Unavunga huelewi swali..😀
Haina shida, siku ukinionyesha uhusiano kati ya ukubwa wa eneo na maendeleo ntakusikiliza, saivi ngoja nikupuuzie tu.
kuelewa ni hiari sio lazima😀😀😀😀
akili kumkichwa kazi kwako
 
Your stupidity has drawn my attention.. Aty Asha?? Huyo hajulikani labda KIJIJINI kwenyu... BTW KENYA IS THE FIRST COUNTRY IN AFRICA TO HAVE THE FIRST WOMAN TO WIN THE NOBLE PRIZE... [HASHTAG]#WANGARE[/HASHTAG] MATHAE... Hio ni kitu TZ hajawahi na haitawahi Tokea TZ... Not to mention Obama the 1st black President of USA na bado Lupita na WENGINE.. In international matters please Tanzanian Msijisumbue
punguza mapepo kijana.........bado mdogo hujui maisha unadhani utamjulia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ichoboy ni kijana hodari sana wa mijadala hususani hii ya sisi watz vs wakenya.hakubari kushindwa.

anaendanao bumper to bumper licha ya mda mwingine wakenya kujaribu kumpunguza makali kwa kujaribu ku-attack personality yake. yeye hajari ana deal na issues zinazoikabili kenya.

kwa siku hizi ichoboy ndio member anayenifanya niwe najipa likizo ya kutopenda ku argue na wakenya mara kwa mara cos najua yupo askari mbadala anayetimiza majukumu niliyokuwa ninayatimiza siku za nyuma.

hongera sana ichoboy. taifa linatambua mchango wako. nina hakika wakuu watakuwa wanafatilia sana comment zako.
kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapatalk_1527167576925.jpeg
tapatalk_1527167579942.jpeg
Dar ni slum
 
Hata Kigali ni mji changa tena ngogo sana lakini unalendeza tena imeendelea kushinda hiki kjiji chenu mnalazimisha maendeleo yake kutumia kigezo cha ukubwa wa eneo
we ni hater...!!eti Kigali!!..we ushawahi kwenda Kigali kweli!??au umeishia kuona picha ambazo ni selective??
 
a glorified village like Dar with shanties surrounding the city center haiwezi tuumiza kichwa. Sisi hapa Africa tunapambana na jo'burg, Lagos, Cairo, Tunis and such like cities. Nairobi is the most important city in this region so why should we care about a city still in diapers like Dar ambayo inatumia ukubwa wa eneo kama kigezo cha maendeleo? Number mtasoma kabisa
Tunis nayo ni city???
anyway Lagos si mji mzuri kama unavyodhani!!naona kijana huna exposure... unaishia kuona kwenye picha tu nakudhanidhani..
 
😀😀😀😀 anajengewa gari moshi ya 50s alaf anataka kushindana na casablanca au cairo wakati casablanca wanatumia electic train with speed of 320km/hr
nilichogundua wakenya huwa wanakaa vijiweni halafu wanaongopeana wenyewe kwa wenyewe hasa wakenya wa jamiiforums,wanaishi korogocho,hawajawahi kwenda city yoyote nje ya Nairobi,
eti Nairobi inapambana na jo'burg!!hahaaahaa bwana mdogo anafurahisha sana..Mara ooohh Kigali sijui nini??
 
Huyu jamaa ajafika Kigali. Kigali hata ifikii Kampala nusu. Tuna deal na wakenya ambao hawasafiri nje ya Kenya.
hili tatizo hata mimi nimeliona wakenya tunaojadiliana nao humu hawajawahi kutoka nje ya Kenya!!
 
nilichogundua wakenya huwa wanakaa vijiweni halafu wanaongopeana wenyewe kwa wenyewe hasa wakenya wa jamiiforums,wanaishi korogocho,hawajawahi kwenda city yoyote nje ya Nairobi,
eti Nairobi inapambana na jo'burg!!hahaaahaa bwana mdogo anafurahisha sana..Mara ooohh Kigali sijui nini??
Kushinda jamii forum na kushinda kuongea maneno yasio na msingi won't change a thing about Dar, a glorified fishing village surrounded by slums. Kulinganisha Nairobi na Dar ni kama kulinganisha giza na mwangaza; hakuna siku zitawahi kutana. Ask anyone which is the most important city in this region and they will tell you Nairobi. Yani kitu chochote cha maana ikikuja EA inatua kwanza Nairobi ndo inaanza safari ya kwendu shithole citiea like Dar. Jengeni jiji lenu badala ya kushinda humu mkipiga domo. Comparing Nairobi with craps like Dar is a downgrade on Nairobi
 
Back
Top Bottom