hakuna sehemu kama hiyo dar!!uliza kwanza uambiwe...The "dream houses" of Dar. Kisha watakuambia hawana picha za mitaa za Dar kumbe mitaa zao ndio mibovu. 80% of Dar estates look exactly like this. Looks like Daadab refuge camp kule kaskazini mwa KenyaView attachment 784182 View attachment 784182
acha ujinga wewe hayo maeneo ya jangwani magu alivoingia tu madarakani alivunja nyumba zote hizo..!,Hehehe...The Hawaii of Africa!!! if Hawaiians see this, they can even sue you for defamation. Mnashangaza sana. I can see lots of dream houses here. By the way mbona siku hizi hamelangi zile dream houses?View attachment 784303
Hiki kijiji chenu kimechapa kila corner. Yani ukikanyaga tu nje ya cbd hivi unakumbana na vituko. Alafu mnaipambanisha na Nairobi!!! Ujinga uliojeacha ujinga wewe hayo maeneo ya jangwani magu alivoingia tu madarakani alivunja nyumba zote hizo..!,
sasa Nairobi ina slums mbaya kuliko zote duniani,unaifananisha na dar isiyokuwa na slums??aki wakenya walobaki humu ni madunya..!!Hiki kijiji chenu kimechapa kila corner. Yani ukikanyaga tu nje ya cbd hivi unakumbana na vituko. Alafu mnaipambanisha na Nairobi!!! Ujinga ulioje
hakuna sehemu kama hiyo dar!!uliza kwanza uambiwe...
Mimi nimezaliwa dar,nimekulia dar,hakuna sehemu ya dar nisioijua,sawa ndugu??nakwambia hapo si dar,mbona mnalazimisha??Kuna video ilitumwa hapa last year ndege ikiland JNIA ,mwenye ako nayo bado airushe...juu hawa watu wanakata kila kitu si dar
video ndio msema kweli si maneno matupuMimi nimezaliwa dar,nimekulia dar,hakuna sehemu ya dar nisioijua,sawa ndugu??nakwambia hapo si dar,mbona mnalazimisha??
hata ikija hiyo video maeneo ya airport,kuanzia ukonga,vingunguti hadi tabata hakuna slums, ni nyumba za kawaida tu!ila to be honest ni kwamba nyumba zimejengwa kwa mpangilio lakini si mpangilio maalum,hii inatokana na uwezo wa kila raia wa tanzania anaweza kutafuta pesa,akanunua ardhi,akajenga nyumba vile ambavyo yeye anataka,si kama hapo Nairobi!!huwezi kuona vibanda kama vile vya kibera na slums nyinginezo hapo Kenya!!
hivi mnaelewa maana ya slums????
wanalazmisha ushindi😀😀😀😀 mm nimewaambia hapo sio dar kma wanabisha walete link kua hapo ni dar nawwpa dada yangu bure kenge hao😛😛sasa Nairobi ina slums mbaya kuliko zote duniani,unaifananisha na dar isiyokuwa na slums??aki wakenya walobaki humu ni madunya..!!
Hii ndo CBD ??????? 😳😱😱hutaskia wanakuonesha slums ndani ya CBD😀😀😀😀utasema zilipigwa mabomu wakikuonesha wanakuonesha zimepigwa powder mpaka zimeparara
View attachment 784611 View attachment 784612
Hiyo bana Iraq sio Nairobi Kenya😀😀
Very neatly arranged.