Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sk.png
 
Huu ndio unaita usafi? Wewe una akili timamu?
8387-jpg.784182
Kama utaki meza piriton ulale. Kibera is one of the biggest slums in Africa, mna mathare, korokocho na kadhalika yaani hadi mnatia huruma. Sio bure kuna high rate of uhalifu na mnavamiwa na Alshabaab kila kukicha na nchi yenu ina refugees kibao ndo maana amani hakuna na nchi yenu inazidi kuwa chafu. I LOVE TANZANIA.
 
Kibera might be big, but Dar is slum is bigger than any slum in kenya
 
Kama utaki meza piriton ulale. Kibera is one of the biggest slums in Africa, mna mathare, korokocho na kadhalika yaani hadi mnatia huruma. Sio bure kuna high rate of uhalifu na mnavamiwa na Alshabaab kila kukicha na nchi yenu ina refugees kibao ndo maana amani hakuna na nchi yenu inazidi kuwa chafu. I LOVE TANZANIA.
hehehe nairobi ndio city pekee africa yenye slums nyingi kuliko yoyote 😀😀😀😀😀
 
ichoboy01 unastahili medali ya dhahabu......
ichoboy ni kijana hodari sana wa mijadala hususani hii ya sisi watz vs wakenya.hakubari kushindwa.

anaendanao bumper to bumper licha ya mda mwingine wakenya kujaribu kumpunguza makali kwa kujaribu ku-attack personality yake. yeye hajari ana deal na issues zinazoikabili kenya.

kwa siku hizi ichoboy ndio member anayenifanya niwe najipa likizo ya kutopenda ku argue na wakenya mara kwa mara cos najua yupo askari mbadala anayetimiza majukumu niliyokuwa ninayatimiza siku za nyuma.

hongera sana ichoboy. taifa linatambua mchango wako. nina hakika wakuu watakuwa wanafatilia sana comment zako.
 
Back
Top Bottom