Afadhali sisi hatujatoka nje ya Kenya, wewe hujatoka nje ya mbagalahili tatizo hata mimi nimeliona wakenya tunaojadiliana nao humu hawajawahi kutoka nje ya Kenya!!
kwa mara ya kwanza umekua mkweli!! I noticed and respect that!kuelewa ni hiari sio lazima😀😀😀😀
akili kumkichwa kazi kwako
Kwanza picha limetulia sana
Jamaa nimemuona Wa hovyo kabisawe ni hater...!!eti Kigali!!..we ushawahi kwenda Kigali kweli!??au umeishia kuona picha ambazo ni selective??
Wewe dar itakuua kwa mfadhaiko.Kushinda jamii forum na kushinda kuongea maneno yasio na msingi won't change a thing about Dar, a glorified fishing village surrounded by slums. Kulinganisha Nairobi na Dar ni kama kulinganisha giza na mwangaza; hakuna siku zitawahi kutana. Ask anyone which is the most important city in this region and they will tell you Nairobi. Yani kitu chochote cha maana ikikuja EA inatua kwanza Nairobi ndo inaanza safari ya kwendu shithole citiea like Dar. Jengeni jiji lenu badala ya kushinda humu mkipiga domo. Comparing Nairobi with craps like Dar is a downgrade on Nairobi
ukweli wa nn??? ikiwa ukweli huutaki unategemea kupata uongo na tatizo hili la kujiona mumekua kama europe litawaathiri mpaka mwisho wa dunia😀😀😀😀kwa mara ya kwanza umekua mkweli!! I noticed and respect that!
😀😀😀😀jamaa hafichi chukiWewe dar itakuua kwa mfadhaiko.
Yaani the way unaitaja Mara tatu tatu katika post moja,inaonyesha mzimu wake unakuandama.
anafanabisha nairobi na casablanca wao wenzao wanatumia electric bullet train wakenya wanatumia train zilitumika 50s alaf wanataka washindane😀😀😀 nimecheka sananilichogundua wakenya huwa wanakaa vijiweni halafu wanaongopeana wenyewe kwa wenyewe hasa wakenya wa jamiiforums,wanaishi korogocho,hawajawahi kwenda city yoyote nje ya Nairobi,
eti Nairobi inapambana na jo'burg!!hahaaahaa bwana mdogo anafurahisha sana..Mara ooohh Kigali sijui nini??
Bila hiyo bajajiHapa sio USA, hapa ni bongo Tanzania View attachment 785243
We bwege kweli unataka fananisha hiko kibiriti na colosseum..Hii ni guest house ya Kawaida hii. Boss tunataka Hoteli. Kitu kama hii.......
Four Points by Sheraton Nairobi
![]()
![]()
![]()
KCB ilikua wapi imelala😀😀😀😀