Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mukhisa Kituyi
Current Secretary General
UNCTAD
mukhisa-kituyi.jpg
usitake kutuchekesha..........kwa hiyo nyadhifa aliyonayo inafanana na nyadhifa aliyokuwaga nsyo ASHA ROSE MIGIRO....
 
Chumbuko la Dar is slum kuwa na faster rate of slum development ni trying a catch up game with the MIGHTY NAIROBI METROPOLIS, even if we were to give Dar is slum 1000 years, it will still trail Hohoho
 
Mukhisa Kituyi
Current Secretary General
UNCTAD
mukhisa-kituyi.jpg
I already gave him that hadi nikmwongeza Lady Justice Joyce Aluoch wa ICC na Susan Mboya wa Coca cola. Uzalendo umewampuza wanaona huyo wao ndio ameweza kuliko wote.
 
kuwa serious kwa hiyo hiko kiwanja kipo ranked na FIFA kuchezesha international game?
Kati ya hii na hiyo yenu unaona gani inaweza kubaliwa kuhost international matches za fifa? Gor Mahia just played Supersport from South Africa papo hapo in a continental match last month. Isn't that an international match recognized by FIFA? Mlikuwa mnataka kujua kama kuna uwanka outside Nairobi tukaleta mbili sasa mnaanza kutapatapa
 
wewe haujielewi..........kwa hiyo hiyo ground yenu yakufugia mbuzi ipo kwa fifa ranked international match?
 
Back
Top Bottom