Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa wale wanaokana Dar es Salaam ndio hiyo kutoka Google maps.😀😀😀
View attachment 784345
Yaani Ukitoka CBD Dar ni huruma.😀😀😀😀
View attachment 784347
hutapata neno kama hili 😀😀😀😀😀
neno slum hutalipata utake usitake lakin yapo maeneo yanayotambulika duniani na yanajulikana😀😀😀😀
EFDD9F6C-5EB5-4383-A91C-BE11D6A1FAB2.png
DF94733D-1C16-46FB-9A15-9CCC71A3B3F0.png
DA87CDD0-8C25-4050-A77F-A77ECB261C41.png
 
Nynyi inferiority complex itawaua....Haya mambo sisi tumeyazoea na wala hutosikia tukizitajataja hapa. soma link kisha unyamaze. Apart from Mukhisa Kituyi, Lady Justice Joyce Aluoch, another Kenyan, is a judge at the international Criminal Court (ICC). Susan Mboya, also Kenyan, is the President of Coca-Cola Africa foundation. Nyinyi kweli ni vilaza

unctad.org/en/Pages/About%20UNCTAD/OSG/Secretary-General.aspx

yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho p
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho point hapo ni nyazifa zakibabe siyo hizo takataka unazoziandika hapa hata hawajulikani......yaani nchi yenu mbali ya raisi wenu uhuru hakuna wengine wanaojulikana kimataifa.....

mfano mdogo tu nitajie mkenya yeyote tokea dunia inaanza na kawa kwenye nyadhifa ya heshima na kubwa kama hii huyu ni Asha rose migiro kuwa mkweli kwenye anga za kutawala anga ama nafasi za juu w

mfano mdogo tu nitajie mkenya yeyote tokea dunia inaanza na kawa kwenye nyadhifa ya heshima na kubwa kama hii huyu ni Asha rose migiro kuwa mkweli kwenye anga za kutawala anga ama nafasi za juu za taasisi za kimataifa wakenya hamuwezi.......hamna baraka za haya mambo pia niwachanga sana

ASHA ROSE MIGIRO
Asha-Rose Migiro - Wikipedia
images.jpeg
 
Mbona mnatia huruma hivi? Sijawahi ona mtu mwenye anakataa kwao! Mnaletanga picha za kibera hapa wala hakuna mkenya ashawahi kukana. Oneni vile jiji lenu ilivyochakaa na kukosa mvuto
utakana vipi wakati ni ukweli
 
Nairobi is a beautiful city though very dirty especially at the city center and the people are very corrupt. Dar es Salaam on the other hand is very beautiful and is developing very fast. The city is clean, the people are united and there is peace. At least we Tanzanians have something to be proud of. God bless Tanzania.
 
Huu ndio unaita usafi? Wewe una akili timamu?
8387-jpg.784182
 
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho p
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho point hapo ni nyazifa zakibabe siyo hizo takataka unazoziandika hapa hata hawajulikani......yaani nchi yenu mbali ya raisi wenu uhuru hakuna wengine wanaojulikana kimataifa.....

mfano mdogo tu nitajie mkenya yeyote tokea dunia inaanza na kawa kwenye nyadhifa ya heshima na kubwa kama hii huyu ni Asha rose migiro kuwa mkweli kwenye anga za kutawala anga ama nafasi za juu w
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho p
yaani umejivuruga kweli hadi macoca cola ndani ya nyumba hapo tulicho point hapo ni nyazifa zakibabe siyo hizo takataka unazoziandika hapa hata hawajulikani......yaani nchi yenu mbali ya raisi wenu uhuru hakuna wengine wanaojulikana kimataifa.....

mfano mdogo tu nitajie mkenya yeyote tokea dunia inaanza na kawa kwenye nyadhifa ya heshima na kubwa kama hii huyu ni Asha rose migiro kuwa mkweli kwenye anga za kutawala anga ama nafasi za juu za taasisi za kimataifa wakenya hamuwezi.......hamna baraka za haya mambo pia niwachanga sana

ASHA ROSE MIGIRO
Asha-Rose Migiro - Wikipedia
View attachment 784375
umeandika nini sasa hapa wewe.
 
ndio mufananishe na huu jamani hamuwezi kua serious hahahah😀😀😀😀😀😀 dah aibu hamuoni kuniekea upuuzi hapa
35f6e475-899b-4f36-a3bc-7bdb6ff7c35d-jpeg.784293
nimewauliza swali dogo tu hawa wakenya kuwa hiko kiwanja kipo kwenye ranked za fifa kuchezesha international mechi...?
 
Nairobi is a beautiful city though very dirty especially at the city center and the people are very corrupt. Dar es Salaam on the other hand is very beautiful and is developing very fast. The city is clean, the people are united and there is peace. At least we Tanzanians have something to be proud of. God bless Tanzania.
dar developing very fast in terms of population and poverty.
kwenda na usirudi tena
 
Back
Top Bottom