Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wachana na hawa mibongo akili maji. They think Tanzania is America or something close to that
hiin ni uwanja au sehemu mbuzi hula majani??😀😀😀😀😀
ofa4gdu6svy4oto5a0c98e3656ac.jpg
 
Wanadhani Dar ni CBD, Kariakoo, Masaki, O'bay, Upanga, Kijitonyama na Mikocheni pekee.😀😀😀
leta link unajifanya wewe mjanja sana leo nataka kukuonesha kwa macho kwamba hapo sio dar na ntakuonesha hapo ni wapi
 
leta link unajifanya wewe mjanja sana leo nataka kukuonesha kwa macho kwamba hapo sio dar na ntakuonesha hapo ni wapi
Mbona mnatia huruma hivi? Sijawahi ona mtu mwenye anakataa kwao! Mnaletanga picha za kibera hapa wala hakuna mkenya ashawahi kukana. Oneni vile jiji lenu ilivyochakaa na kukosa mvuto
 
Mbona mnatia huruma hivi? Sijawahi ona mtu mwenye anakataa kwao! Mnaletanga picha za kibera hapa wala hakuna mkenya ashawahi kukana. Oneni vile jiji lenu ilivyochakaa na kukosa mvuto
makwambia leta link kua hapo dar alaf nitakuonesha hapo ni wpi hehehe munajifanya wajanja sana 😀😀😀😀😀
walikuwepo wenzako walioleta picha za sieralione wakasema dar na tukawaumbua humu ndani
 
Hehehe...The Hawaii of Africa!!! if Hawaiians see this, they can even sue you for defamation. Mnashangaza sana. I can see lots of dream houses here. By the way mbona siku hizi hamelangi zile dream houses?
8388.jpg
 
Hehehe...The Hawaii of Africa!!! if Hawaiians see this, they can even sue you for defamation. Mnashangaza sana. I can see lots of dream houses here. By the way mbona siku hizi hamelangi zile dream houses?View attachment 784303
hapo ni jangwani hio picha ni ya zamani sana na hzo nyumba zote zishabomolewa na subiri nikuletee ushahidi na huo ni mto msimbazi pembeni
 
Ichoboy, next question please
This is Kenyatta Stadium in Machakos town. Huu ni uwamja wa pili tumeleta
8445.jpg
8447.jpg
8446.jpg
 
Namngoja aje akatae hizi pia. Wanasema eti hawana picha za sehemu zingine za Dar.😀😀😀😀
harbor-slums-dar-es-salaam-260nw-625672427.jpg
aerial-view-of-a-graveyard-in-suburban-dar-es-salaam-tanzania-cnmg24.jpg
 
Don't try so hard to disapprove that Dar is a slum city by bringing us random photos. Dar is a slum and that will never change
hutaki ukweli au huo ndio ukweli hzo nyumba zote zilibomolewa na sasa hzi pako open hapo pembeni ya mto msimbazi kama hutaki acha sikulazmishi kuamini
 
Back
Top Bottom