Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

video ndio msema kweli si maneno matupu
wewe ndo umesema kuna video sijui ndege inaland..!!mimi siijui!!wewe ulieleta mambo ya video ndo uiweke hapa tuone kama kweli kuzunguka airport kuna slums???mbona wakenya mnapenda porojo??
 
Wanaomba mchina awafanyie kama hiliCheck out @azamtvtz’s Tweet:

Nchi ldc watatoa uwezo wa kulipa madeni wapi? Yani hadi mnahurumiwa hadi na Iran. Iran of all countries! Halafu pesa mlikopa 1984 wakati wengi wetu humu hata hatujazaliwa na mkashindwa kulipa hadi leo! Kweli ldc ni ldc tu
 
Naona umeshika makende za midanganyika hawapumui hahaha...good work bro. Hata hiyo watakana tu kama ilivyo desturi yao
ameshika makende gani anaushahidi wakusema hapo dar maana kila kitu kinataka ushahidi anao???😛😀😀
 
wewe ndo umesema kuna video sijui ndege inaland..!!mimi siijui!!wewe ulieleta mambo ya video ndo uiweke hapa tuone kama kweli kuzunguka airport kuna slums???mbona wakenya mnapenda porojo??
hawajiamini hawa hehehhe 😀😀😀 atoe picha google ake aseme dar ndio yale yale ya collo mzii anatoa picha sire lione slum anasema dar
 
Nchi ldc watatoa uwezo wa kulipa madeni wapi? Yani hadi mnahurumiwa hadi na Iran. Iran of all countries! Halafu pesa mlikopa 1984 wakati wengi wetu humu hata hatujazaliwa na mkashindwa kulipa hadi leo! Kweli ldc ni ldc tu
ikiwa chakula munaomba msaada 😀😀😀 sijui hao waathirika wa floods mutawapa nn?? maana naskia mliwapelekea condom badala ya chakula😛😛😛
 
wapi utapata mambo kma haya africa mashariki na kati kama sio dar😀😀
B74DF4AD-21E2-4820-A56F-B0D573F93F69.jpeg
0A503E9E-AABA-40EB-8428-E4FA037D3F03.jpeg
 
coco beach oyesterbay public place for every one and its under government control
lakin hii ingekua kenya sahivi ingekua mali ya kenyatta na familia yake😀😀😀
C362C6B9-4AEE-46CE-98FE-9FFBA664C2CE.jpeg
 
Back
Top Bottom