Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asanteni UN kwa kumpa ajira kubwa mtanzania
heheh kuna mtu nilimwambia hapa kua na hq za international companies hazikupunguza unemployment in kenya hata kwa asilimia 2% 😀😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
9702BC1E-9B57-457E-B7AC-71201A4A5C7E.jpeg
 
kokote tu 😀😀😀 hamutaki wazungu waone
wazungu wako Jamii Forums au huko Twitter hakuna wazungu na hata kama wapo, hawawezi soma Kiingereza maana tweets zenyewe hazijaandikwa Kimaasai au Kitaita au unamaanisha nini?
 
btw you are spamming the thread with tweets. moja au mbili zinatosha.
nitarudi ukimaliza
 
Back
Top Bottom