NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
BRT Sio matako kwamba kila mtu analo.
Hahahaha, noma sana, mbavu zangu we....
BRT Sio matako kwamba kila mtu analo.
Ndio wanachokitaka hawa mm sina maneno kaangu mm kaz kazTutengeneze projects under construction thread nn???
Hhehheehe hata wewe unaeza tengeneza sio lazma sisi kila kitu ngoja tutengenezeebu tengeneza mkuu...nataka kuziona zote
Usisahanu morocco square the biggest housing project in east and central Africa hahhahahahha hakuna sehemu utapita ndio maana niliwaambia ingizeni mombasa na kisumu humu ziwasaidie kidogo alaf twende kaziyap mko nazo but hakuna yenye ni ndefu zaidi ya pspf...tuko na tatu ndefu zaidi ya pspf ongoing na mbili kwa site prep...mtakua number sita...
Alaf nikufundishe kitu kuna kukamilika au isikamilike kwan hujawah kuona projects zinaishia njiani ndio maana hata bandari ya lamu imeishia njian coz hakuna pesa so hats hizo zinaeza zikaishia njian au zikachukia muda mrefu sana kuisha so unatakiwa kuelewa pia...be dynamichaya bana...ngoja tukamilishe hass,avic,montave na hazina..mtakua na number five in east africa bila iyo minara
Nairobi hawakuiona world class cityARUSHA & ZANZIBAR zatajwa miongoni mwa Sehemu 10 Bora za kutembelea Afrika.
Africa's best tourism spots— according to the TripAdvisor's annual Travellers' Choice Awards.
Using millions of opinions from wanderers across the globe, the world's largest travel-review site says it uses an algorithm to determine the winners by taking into account the quantity and quality of reviews applicable to each category over a 12 month period.
View attachment 491350

Hahaaaaaaahaaaaa very painful na badozinatembelewa na wanywa viroba
lamu port imeishia njiani,,,,umeitoa wapi ii.ama unataka picha ndio uamini.alafu kukamilika zitakamilika tu,mtaisoma number kwa sana yaniAlaf nikufundishe kitu kuna kukamilika au isikamilike kwan hujawah kuona projects zinaishia njiani ndio maana hata bandari ya lamu imeishia njian coz hakuna pesa so hats hizo zinaeza zikaishia njian au zikachukia muda mrefu sana kuisha so unatakiwa kuelewa pia...be dynamic
Huo mwiba mkali ambao wengi wao hawapendi kuusikiaKwa upangaji huu wa Nguo ktk Mall kubwa cjui Africa Mashariki, na kukosa mvuto wa ndani hasa rangi za jengo basi nafuu ya Machinga Complex ya Dar. Eti Nike, hii ina tofauti gani na uniform za watoto wa shule readymade pale machinga complex?
Tafuteni 2 trillion muokoe jahazi hahhahhahahah onesha picha za lamu wanifanya mm sijui au hahahhahahahaha kazi ipo naona magufuli anawapeleka mchakamchaka hahahahahahlamu port imeishia njiani,,,,umeitoa wapi ii.ama unataka picha ndio uamini.alafu kukamilika zitakamilika tu,mtaisoma number kwa sana yani
Kwa upangaji huu wa Nguo ktk Mall kubwa cjui Africa Mashariki, na kukosa mvuto wa ndani hasa rangi za jengo basi nafuu ya Machinga Complex ya Dar. Eti Nike, hii ina tofauti gani na uniform za watoto wa shule readymade pale machinga complex?
Hahaha hakuna milele ww...lazima tuwakimbize tuata bado iko proposed...apa nivitu zinajengwa sasa.hii hass itawatoa jasho hadi milele
Mko na empty space kibao...not dense kabisaLeo nina Aerials za kuwaonyesha World class city of Nairobi, look at the accessibility, the roads linking all parts of the city beautifully
View attachment 491402 View attachment 491403 View attachment 491404 View attachment 491405 View attachment 491406 View attachment 491407 View attachment 491408 View attachment 491410
Mko na empty space kibao...not dense kabisa
Nairobi ni mji mdogo uliopangika vizuri na miundombinu mizuri sanaLeo nina Aerials za kuwaonyesha World class city of Nairobi, look at the accessibility, the roads linking all parts of the city beautifully
View attachment 491402 View attachment 491403 View attachment 491404 View attachment 491405 View attachment 491406 View attachment 491407 View attachment 491408 View attachment 491410