Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

andika...unajua sijawai pinga kama kitu ni kweli.leta tuone tu apa
Hvi wewe kwa mtu mwenye akili unaeza kukaa bado kuongea ujinga hio ni kitu bado unataka ushindani.....inajionesha kabisa ni mnara juu wa jengo punguza ujuaji sana
uapbuild.jpg
 
Sasa utuambie na huo mnara wa uap ina urefu gani?????????????? Hakuna ujanja hapa hahhahahhahahahhahaa😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hvi wewe kwa mtu mwenye akili unaeza kukaa bado kuongea ujinga hio ni kitu bado unataka ushindani.....inajionesha kabisa ni mnara juu wa jengo punguza ujuaji sana
View attachment 491359
okay nmeelewa shida yako ni gani...ivi unajua ni minara gani yenye inahesabiwa kwa urefu wa jengo?tuanzie apo..ebu kaeke mnara kwa tpa uone kama utahesabiwa
 
Very good so britam tower ni 140 meters sawa 😀😀😀😀😀
 
Saedeque nijibu basi mtoto wa pwani hehehehhee nijibu tuendelee so britam tower is 140m sawa hahhhahhahhaa
 
nop...britam ni 200 kwa sababu ile ni architectural spire mkuu..uap ndio haijahesbiwa mnara
Hahahhha listen we unafaa utumie akili hapo uap hio mnara juu iko included ndani ya 163 m it means urefu umeongezwa na kofia ambayo ikitolewa na height inapungua so mm nataka kujua huo mnara wa uap in height ngapi ili nijue actual height ya uap.......hahhahahhaha
 
daah,,,,yani hutaki kukubali kabisa
 
Kwa akili yako ya kuzaliwa wanaeza kueka mnara alaf wasiuhesabu hehehhehe bro acha ujuaji haiingii hata akilini....hebu tazama kwa macho yako hahhahhahahhah
uapbuild.jpg
 
Haiwezekani hata siku moja ueke mnara usihesabu basi na britam isihesabiwe sasa hahahahahaha bro usiwe kama mtoto wa nursery
haya bana...ngoja tukamilishe hass,avic,montave na hazina..mtakua na number five in east africa bila iyo minara
 
Mkimalisha na huku tunakamisha alot of on going projects tena nyingiko zimefika more than 50% so bongo kila siku panajengwa nilikwambia mfano ilala mpaka 2020 yote itakua magorofa kwasababu speed sio mchezo so Google uone ukubwa wa ilala
 
Hahahaha unafkiri on going projects bongo zimesmama hahahahha wala usishindane na under construction project za bongo hahhahahahha zimejaaa kama unataka twende kazi
Tutengeneze projects under construction thread nn???
 
Mkimalisha na huku tunakamisha alot of on going projects tena nyingiko zimefika more than 50% so bongo kila siku panajengwa nilikwambia mfano ilala mpaka 2020 yote itakua magorofa kwasababu speed sio mchezo so Google uone ukubwa wa ilala
yap mko nazo but hakuna yenye ni ndefu zaidi ya pspf...tuko na tatu ndefu zaidi ya pspf ongoing na mbili kwa site prep...mtakua number sita...
 
This is what we do in Nairobi, Attracting International Brands
View attachment 491342

Nike has opened its first Official Mega Store at Two rivers bringing leading international brands to 28 at Two rivers only
C8kWK-pXsAAGd3A.jpg
Kwa upangaji huu wa Nguo ktk Mall kubwa cjui Africa Mashariki, na kukosa mvuto wa ndani hasa rangi za jengo basi nafuu ya Machinga Complex ya Dar. Eti Nike, hii ina tofauti gani na uniform za watoto wa shule readymade pale machinga complex?
 
muhimu nikununua tu apo...mpangilio acha ukae
 
Back
Top Bottom