hahaha,mateka tumewashika sawasawa....roundi hii mtatiiiHahaha wakenya raha kweli
yabongo marefu sahv yanayopanda kuna ppf 35 floor,mzizima A 35flr, B 33flr, kuna MNF 30flr yani tuko serious hatupendaji jokes..!!
hahaha,mateka tumewashika sawasawa....roundi hii mtatiiiHahaha wakenya raha kweli
yabongo marefu sahv yanayopanda kuna ppf 35 floor,mzizima A 35flr, B 33flr, kuna MNF 30flr yani tuko serious hatupendaji jokes..!!
huku kuna avic,45,33,hass,66,40,kuna hazina,40,montave,both over 30....bado unabishaHahaha wakenya raha kweli
yabongo marefu sahv yanayopanda kuna ppf 35 floor,mzizima A 35flr, B 33flr, kuna MNF 30flr yani tuko serious hatupendaji jokes..!!
Hahaha hass tower sio?mlipiga kelele apa ati by 2020 tutakua tunaisoma namba....hehee ebu ngojeni ifike.mtatuachia hii jf muihame cz hamtapumua humu
ata bado iko proposed...apa nivitu zinajengwa sasa.hii hass itawatoa jasho hadi mileleHahaha hass tower sio?
***** sijui itakuaje ujue sipat picha mlivyowanoko nyie ??mchikichini wali propose 50flr building sijui kama itakua approved labda hyo itufute jasho
Kazi iko mbioni sana, soon the cranes will be up high. Nyie ndo mtajua mna ujinga.HaHaha tusubiri liwe real kwanza....najua hadi liishe tutainua moja apa town lakupoza ujinga wenu maana hatutapumua kwa vijembe
Uko tayari tuanze on going projects porojo za nini hahhhaahahhaaa nikuoneshe majengo yaliyo under construction kama unajiamini nibeep nikupigie sasa hviata bado iko proposed...apa nivitu zinajengwa sasa.hii hass itawatoa jasho hadi milele
Kwa sahivi mnakubali mchakamchaka lakini?tpa na pspf zinavowaka kwenye list uko, hatupendi mazoea kabisahuku kuna avic,45,33,hass,66,40,kuna hazina,40,montave,both over 30....bado unabisha
zinatembelewa na wanywa virobaARUSHA & ZANZIBAR zatajwa miongoni mwa Sehemu 10 Bora za kutembelea Afrika.
Africa's best tourism spots— according to the TripAdvisor's annual Travellers' Choice Awards.
Using millions of opinions from wanderers across the globe, the world's largest travel-review site says it uses an algorithm to determine the winners by taking into account the quantity and quality of reviews applicable to each category over a 12 month period.
View attachment 491350
Kama unajiamini tuanze on going project hapa hatutaki kelele saana kama unajiamini tuingie kiumeni heeehehehheeeKazi iko mbioni sana, soon the cranes will be up high. Nyie ndo mtajua mna ujinga.
hatujakataa zipo lakini uap na britam mnapumulia machine...kama vile mnavyosemaKwa sahivi mnakubali mchakamchaka lakini?tpa na pspf zinavowaka kwenye list uko, hatupendi mazoea kabisa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 soma hapo chini.... trip advisors annual travellers kumbe ni wanywa viroba hahahahahhahahahaha kazi ipo sanaaaaazinatembelewa na wanywa viroba
Hahaha zile tushajua ni minara tu hazina sumuhatujakataa zipo lakini uap na britam mnapumulia machine...kama vile mnavyosema
mwenzako sijui ni motochini alishatoa iyo list ya above 25 floors uko nyuma,kisha alichanganya ata ambayo yashakamilika...yalikua 35 buildings in total...Uko tayari tuanze on going projects porojo za nini hahhhaahahhaaa nikuoneshe majengo yaliyo under construction kama unajiamini nibeep nikupigie sasa hvi
Haiumizi kichwa wakat tunaambiwa mnara 60 meters hahahahahha kofia ambayo inaeza kuvuliwa bongo hakuna ujanja wa minara baba huku ni actual height hahahhahhahhhatujakataa zipo lakini uap na britam mnapumulia machine...kama vile mnavyosema
hahaa...burj khalifa ina mnara piaHahaha zile tushajua ni minara tu hazina sumu
heheeee...njoo uungoe basi.britam 200m ndugu.take it or leave itHaiumizi kichwa wakat tunaambiwa mnara 60 meters hahahahahha kofia ambayo inaeza kuvuliwa bongo hakuna ujanja wa minara baba huku ni actual height hahahhahhahh
Umesahau mlikimbia humu au kumbukumbu yako ndogo sana hahahhahaha kama uko tayari tuingie kiumeni kelele za nini twende under construction projects hahahhahahah we bongo huijui vzrmwenzako sijui ni motochini alishatoa iyo list ya above 25 floors uko nyuma,kisha alichanganya ata ambayo yashakamilika...yalikua 35 buildings in total...
Burj ukiondoa mnara bado ni refu...ukitoa mnara uap inakuaje?hahaa...burj khalifa ina mnara pia
Hehhhehehe bongoo hakuna sehemu utatoboa hakuna ilete nairobi jumlisha mombasa na kisumu hakuna sehemu utaingiza kidole hakuna hahaahhahahahhaheheeee...njoo uungoe basi.britam 200m ndugu.take it or leave it