Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DSM
1491398098862.jpg
1491398113954.jpg
1491398139838.jpg
 
😀😀😀😀😀 naona ichoboy anakutesa sana ubongo wako kutwa unawaka moto hahahahaha sina facts au nakuletea vitu ambavyo mpaka unakufa hutaviona Kenya hajhahahah
iCHOOboy na ANAel yaani mko related na jina mbovu ivo....nyinyi hamwezani na kupingana na Kenyans...uliza Nigerians na south Africans kenye walifanyiwa twitter...wewe na wewe I will deal with u 'perpendicularly'
 
😀😀😀😀😀😀 maskini ya Mungu sifa sitakuuweni hahhahhaha duuuhhh mpaka huruma hahahahhaha bongo hua hatujionesh sisi tunatekeleza tu....mkibanwa kidogo munabadilisha mada hahahahaha hua munanifurahisha sana😀😀😀
 
Ety hamujionyeshi sasa izo picha za dar niza nini basi...iCHOOboy unabelong chooni
 
iCHOOboy na ANAel yaani mko related na jina mbovu ivo....nyinyi hamwezani na kupingana na Kenyans...uliza Nigerians na south Africans kenye walifanyiwa twitter...wewe na wewe I will deal with u 'perpendicularly'
kushindwa kubaya sana, ona ssa kaibuka na kutoa vtisho . inatia huruma sana, ila kwa info. ukae ukijua wabongo ni hatari sana kwenye fitna shauri yako!! ha haaaaa
 
Zinajengwa 3 kwa mpigo hhahhahaha aise magufuli ni motoooooooooo
Tazara
View attachment 490805
Ubungo baby
View attachment 490806
Tabata fly over hahahahha
View attachment 490807
Zote under construction kwa pamoja hahahahhaha dar tamuuuuuuuuuuuuuuu
Hapana! Give credit where it is due.

Hizi zilikuwa ni miradi za KIKWETE.

jakaya-1024x728.jpg

Jamaa alikuwa msharp na mchapa kazi kabisa, hivi leo mnamsahau tu hivi? Ati John Pombe for kila kitu kizuri in Tanzania and yet hajahudumu even for a 1000days.
 
Hatuwez kumsahau kikwete ndio kichwa cha Tanzania mpaka Leo hiii bado anatumikia Tanzania usifkiri amelala yupo kazini usiku na mchana na magufuli na anajuhudi zake anajitahidi pia........hatujamsahau mtu hapaaaaa hahahhaha wanafanya kazi pamoja tena kwa bidii
 
Ndio, lakini si fair kumlimbikizia sifa JP kwa initiatives ambazo hata si zake. Nearly miradi 90% zinazoendelea kwa sasa zilihasisiwa na serikali ya kikwete, uchumi wa Tz kwa miaka 10 iliopita imekuwa ikikuwa kwa kasi, +7%, kipindi cha JK. Humu watu husema ni kutokana na JP. Lakini tazama comments za observers wengi wanavyomcriticize JP jinsi anavyohandle uchumi kwa sasa. Tafadhalini, mpeni angalau miaka minne ndio mjue kama kweli yeye anafaa kuendesha taifa hilo au la. JP anablunder, haonekani kuwa na ile hekima ya JK.

Lakini kusema kweli, Tz imetoka mbali sana. Hongera zenu, lakini Kenya bado iko mbaaaaali kidogo.

592917-happy-fan.jpg
 
Back
Top Bottom