Hahaha unauma na kupuliza kikwete kafanya kazi kubwa SNA na magufulia anaendelea kufanya kazi kubwa pia so wote ni watu wakazi alaf mm siku zote nakwambia dar ni kubwa sana tena sana kwa nairobi yani ukubwa wa dar ingiza nairobi,mombasa na kisumu na utakuja kuamini maneno yangu we kua mpole tu.....Tanzania ni habari nyingine kabisaaaa.....2017Ndio, lakini si fair kumlimbikizia sifa JP kwa initiatives ambazo hata si zake. Nearly miradi 90% zinazoendelea kwa sasa zilihasisiwa na serikali ya kikwete, uchumi wa Tz kwa miaka 10 iliopita imekuwa ikikuwa kwa kasi, +7%, kipindi cha JK. Humu watu husema ni kutokana na JP. Lakini tazama comments za observers wengi wanavyomcriticize JP jinsi anavyohandle uchumi kwa sasa. Tafadhalini, mpeni angalau miaka minne ndio mjue kama kweli yeye anafaa kuendesha taifa hilo au la. JP anablunder, haonekani kuwa na ile hekima ya JK.
Lakini kusema kweli, Tz imetoka mbali sana. Hongera zenu, lakini Kenya bado iko mbaaaaali kidogo.
![]()
Ndugu unajua maana ya kusmama kwa mradi sijakwambia haijaanza ila nimekwambia mradi umesmama ujenzi kutoka na serekali kupungukiwa pesa 2 trillion ksh ndio maana serekali ikatangaza kusimamisha mradi hahahahhaha hata serekali yenu huiamini
Ndio, lakini si fair kumlimbikizia sifa JP kwa initiatives ambazo hata si zake. Nearly miradi 90% zinazoendelea kwa sasa zilihasisiwa na serikali ya kikwete, uchumi wa Tz kwa miaka 10 iliopita imekuwa ikikuwa kwa kasi, +7%, kipindi cha JK. Humu watu husema ni kutokana na JP. Lakini tazama comments za observers wengi wanavyomcriticize JP jinsi anavyohandle uchumi kwa sasa. Tafadhalini, mpeni angalau miaka minne ndio mjue kama kweli yeye anafaa kuendesha taifa hilo au la. JP anablunder, haonekani kuwa na ile hekima ya JK.
Lakini kusema kweli, Tz imetoka mbali sana. Hongera zenu, lakini Kenya bado iko mbaaaaali kidogo.
![]()
Kuamini ni ngumu sana hahahahahhaahWacha utani, unafikiria Nairobi ni karioko yenyu! ati dar unaingisha nai, msa na ksm! wikipedia na google zimewafunga akili. Fikisheni dar mahali Nairobi iko kwanza kimaendeleo na upana wa maendeleo, sio ukubwa wa watu(poppulation) na wengi hawajiwezi. Tembea ujionee kama wenzako wanavyo ksana
michezo na mikutano ya kanisa, wanabigwa na butwa na kusema "DAR KUMBE BADO TUKO NYUMA, TUTAFIKA!" this is 2017, take a trip, wacha internet.
Pata information from neutral sources, kama rwandese, wamalawi, burundians n ugandans wenye wametembea pande zote, wachana na wakenya na watanzania na mitandao, hapa kuna mapendeleo na blind patriotism, utaelezea peupe, Dar bado sana, ni ukubwa tu, well developed area and level,haiwezani na Nairobi., hiyo ata mkubali mkatae, muandike na kurusha vipicha, ukweli haubadiliki.
huu msee ni kishipa sana. ii thread ikianza, wabongolala wenzake wenye washafika Kenya waliinua mikono juu na kusema Kenya/Nairobi iko ligi yake but hataki kukubali. niko sure waKenya wengi wana watch ii thread na kucheka tu na kwenda zao. waTz wote wenye naongea nao Msa wanasema dar bado ni mtoto kwa Msa. so ii thread tuibadilishe jina iwe "Dar vs Kisii"Pata information from neutral sources, kama rwandese, wamalawi, burundians n ugandans wenye wametembea pande zote, wachana na wakenya na watanzania na mitandao, hapa kuna mapendeleo na blind patriotism, utaelezewa peupe, Dar bado sana, ni ukubwa tu, well developed area and level,haiwezani na Nairobi., hiyo ata mkubali mkatae, muandike na kurusha vipicha, ukweli haubadiliki.
Loh !kumbe mnaotokea koromije mko wengihuu msee ni kishipa sana. ii thread ikianza, wabongolala wenzake wenye washafika Kenya waliinua mikono juu na kusema Kenya/Nairobi iko ligi yake but hataki kukubali. niko sure waKenya wengi wana watch ii thread na kucheka tu na kwenda zao. waTz wote wenye naongea nao Msa wanasema dar bado ni mtoto kwa Msa. so ii thread tuibadilishe jina iwe "Dar vs Kisii"
tuko tu hapa Mbagala... twende wapi tena?Loh !kumbe mnaotokea koromije mko wengi
Povu LA nn sasa hhahhahahahha we ushawah kufika bongo au ndugu yako yoyote hahhhaa maana unaongea tu naona mambo tyt mpaka akili mumetia sasaPata information from neutral sources, kama rwandese, wamalawi, burundians n ugandans wenye wametembea pande zote, wachana na wakenya na watanzania na mitandao, hapa kuna mapendeleo na blind patriotism, utaelezewa peupe, Dar bado sana, ni ukubwa tu, well developed area and level,haiwezani na Nairobi., hiyo ata mkubali mkatae, muandike na kurusha vipicha, ukweli haubadiliki.
Akili yako tu hio lakin wenye akili wanaelewa dar ya 2017 maana yake nn ndio maana hata Mungu hakuwapa binaadamu wote akili sasa sikushangai sana unachoongea povuuuuuuuu hiloooooo hahahahahahahhahaha wazee wa sifaaaaaahuu msee ni kishipa sana. ii thread ikianza, wabongolala wenzake wenye washafika Kenya waliinua mikono juu na kusema Kenya/Nairobi iko ligi yake but hataki kukubali. niko sure waKenya wengi wana watch ii thread na kucheka tu na kwenda zao. waTz wote wenye naongea nao Msa wanasema dar bado ni mtoto kwa Msa. so ii thread tuibadilishe jina iwe "Dar vs Kisii"
Nope TPA 36 floors & PSPF TWIN TOWER 35 floors.Hawana jengo refu lakushindana na bongo hawaipati pspf twin towers wala Tpa tower hahahaha...hawa wamekaa kijanja sana lakin dunia ya Leo hakuna ujanja ndio maana mpaka Leo pspf ndio inajulikana jengo refu zaidi east Africa
TPA 40 floors na pspf twin 35 floors eachNope TPA 36 floors & PSPF TWIN TOWER 35 floors.