Hii kwao hakuna hoteli yenye facitities kama Kunduchikunduchi beach resort dar
![]()
Hii kwao hakuna hoteli yenye facitities kama Kunduchikunduchi beach resort dar
![]()
Umeibuka kijana. Hahahahaha!!! Nimegundua wakenya hamuwezi mambo. Hii battle imewaweka uchi mawazo yenu. Tunawatishia kidogo tu mnakuja mazima mazima.😀😀😀 kubali leo umepatikana kona mbaya, ukakula kichapo cha mbwa koko. umehangaika leo kutafuta excuses sijui Ratings mara Facilities lakini wapi??! 😀😀
tabia tabia zako always leads you to this
take some time off JF.
Can you name those facilities one by oneHii kwao hakuna hoteli yenye facitities kama Kunduchi
watakuambia mega city
wapo nairobi pale rundo la watu wasio na ajira wakizurula......masikini pesa za wakeny wanyonge😀😀😀

huo ni ukweli kabisa
dah kweli kabisa mna hotel nzuri sana yaani ukiwa humo kama upo mbinguni vile........Vitu kama hizi 5* hotels wanazisikia tu kwa media.😀😀😀😀
Tribe Hotel
![]()
![]()
![]()

axchana nae......anazingua..................kila kitu kipo wazi nairobi hainakiwango cha kuwa na hotel kali kama za dar...golden tulip dar es salaam
![]()
![]()
![]()
Jamaa huyo mshamba sana. Na hajui chochote. Nimeshagundua jamaa ni mweupe kichwani. Anawakilisha tabia za wakenya walio wengi. Hawana kifua cha uvumilivu wanapozidiwa. Huyu jamaa anaweza kurusha ngumi mkiwa mnajadiliana physically.

mi ningekuomba umuachie hapo kwani kenya nzima hakuna hotel inayoishinda ramada kwa ubora .....na kila kituhi utasema paris hotel😀😀😀😀😀😀![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwa hiyo style uliyonayo na unayoileta ni yakitoto ukweli upo wazi hamna hotel za maana......Wekeni 5* bana. Hizo vitu mnazoweka ni Guest House.😀😀😀
halafu ukichunguza vipicha vya hotel anazozilets wanatoa picha moja moja iliyopigwa kwa mbele tu ukiingia ndani na angle nyingine ni poor service....huyo nairobi wakumoka ni chizi anafikiri 5* ni vijengo ........Hii ni dalili ya kuishiwa hoja. Picha zote umewekewa hapo ni kwenye roof. Tunakuonesha service zinazotolewa kwenye hotel. Sijaona Hotel yoyote umeweka yenye facility ya usafiri wa anga.
![]()
![]()
kabisa yaani hata hawajishtukii hawaoni hiyo hotel ilivyokubwa nakuchukua eneo zaidi....ukija kwao ni vitukokunduchi beach resort dar
![]()
kabisa......Hii kwao hakuna hoteli yenye facitities kama Kunduchi
Nyinyi midanganyika mnachekesha kweli. Yani hizo picha zilizoletwa zote zilipigwa picha za nje tu!!! Ile hong kong mlileta picha yake hapa mlileta picha za ndani? Na zile vijiapartment mnaita hoteli je? Vita vya mdomo hamna mpinzani ukanda huu ila matendo ziihalafu ukichunguza vipicha vya hotel anazozilets wanatoa picha moja moja iliyopigwa kwa mbele tu ukiingia ndani na angle nyingine ni poor service....huyo nairobi wakumoka ni chizi anafikiri 5* ni vijengo ........
hajui kama unaweza ukawa na jengo kubwa service ikiwa zero inakuwa ni 0*
Tunaweza kuwa na vituko lakini hazifikii vituko za hong kong hotel hehehekabisa yaani hata hawajishtukii hawaoni hiyo hotel ilivyokubwa nakuchukua eneo zaidi....ukija kwao ni vituko