Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tribe
tribelobby.jpg
tribe1.jpg
tribe-hotel-ambassadorial-suite.jpg
tribe_transport.jpg
Hahahahaha! Muda wote umepotea tukadhani utakuja na jambo la maana. Lakini umekuja na motel iliyo na chopa.
 
Naona hii apartment ya kupangisha ni ya maana sana kuliko Tribe hotel aliyoleta Nairobiwalker. Leteni guest houses pia
hujaona neno hotel au siku hzi unataka ligi za kitoto 😀😀😀😀😀😀 au kilio as usual??
 
Ni aibu sana kuleta such an ugly hotel kisha unaita Tribe kitu kisicho cha maana....Wewe unaona hiyo "hoteli" ni ya maana sana. Mdanganyika ni mdanganyika tu
 
is tribe hotel yakueka hapa serious???😀😀😀
 
Na kwa akili yako unaona hiyo apartment ni kitu ya kuita hotel. Najua Dar apartment biildings ni kidogo ila punguza ujinga kuleta vitu vya ajabu na kuviita hoteli. Such buildings here in Nairobi ni apartments za kupangisha, sio hoteli. Hiyo tribe unadharau huwezi afford hata kununua kikombe cha chai. Pengine uuze mali yako yote na wewe pia ujiuze
 
Acheni ushamba wauza vifaranga
 
Usipoteze muda wako tulishaamalizana nao jana, izo vi guest house wanarudia rudia tu😀😀😀
 
Back
Top Bottom