Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kitu katikati mwa jiji jenga kitu cha maana kama hiki, achana na Guest House.😀😀😀

The Nairobi Safari Club.
nairobi-safari-club.jpg
Nairobisafariclub.jpg
81926249.jpg
 
Yaani Nairobi ingekua pwani sijui ni jiji gani lingeitoboa kwa mahoteli. 5* kila mahali

Azure Hotel😀😀😀
16f38431_z.jpg
royal-orchid-azure800_a11.jpg
 
Niliwaambia Dar ni Ramada, Kilimanjaro na Sea Cliff. Ukitoa hizo hata Eldoret hamuiwezi. Nairobi 5* kila corner.😀😀😀
 
Naona mshaarudi kwa Guest House. Nawapa 5* mnaniletea Guest House.😀😀😀
Umeishiwa? Nakuona umeanza kuimba mapambio. Bado hujawekewa Sea Cliff hapo kijana. Njoo tu tunakusubiri. Am watching you uki cheat tu nakuumbua.
 
Back
Top Bottom