Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ramada Encore Dar Es Salaam

hotel.jpg

ramada-encore-dar-es.jpg

ramada-encore-dar-es.jpg

ramada-encore-dar-es.jpg
 
Tatizo lako unaweka vihotel vya ajabu ajabu tu. Unaangalia kwenye google classes zilizowekwa na "google local guides"
Haya mambo kila mtu anaweza akafanya hivyo. Hata mimi huwa nikiwa na muda huwa nafanya contribution kwenye google map kama local guid na kuweka classes za hizo hotel. So sidhani kama ni issue kubwa hiyo. Nipe siku tatu nitakuletea hotels zote unazoziona 3* Tanzania zitakuwa na 5*. Mbona simple tu kijana.
Hapa tunataka utuoneshe services za hizo hotels.
Nilikwambia wewe unayejiita Computer expert jifunze kutumia Computer. Kwa Google guide kuna customer rating (those stars) na professional rating ya Hotel (imeandikwa hapo chini ya customer rating). Hiyo professional rating ndio tunayoangalia. Customer rating ni mtu binafsi. Angalia hapa.
rr.JPG

Cha kushangaza ni wewe uliyekua ukilia humu eti tuangalie google kuconfirm rating ya Hoteli, ulipoona Google imetoa ukweli sahii unatapatapa ukisema eti haiko valid. Leo utalia tuu.😀😀😀
 
View attachment 783543

Cha kushangaza ni wewe uliyekua ukilia humu eti tuangalie google kuconfirm rating ya Hoteli, ulipoona Google imetoa ukweli sahii unatapatapa ukisema eti haiko valid. Leo utalia tuu.😀😀😀
Tatizo kijana wewe ni mshamba wa mambo.
Kama ukipata service unaweza ku rate. Ndivyo hivyo vi nyota nyota.
Halafu kuna Hotel classes, ndicho tunachongelea hapa. Trusted local guides wanaweka classes za hotels kwa sababu wanazijuwa na wako trusted na google. Mimi ni mmoja wa trusted local guide wa google kijana.
Unatakiwa ujifunze. Hizo rate zenye nyota nyota unaweza kuweka kwenye picha yoyote na siyo hotel pekee.

Mshamba wewe. Kwikwikwikwikwi.
 
Ila Wabongo mnanifurahisha sana. Yaani hii ndio mnaita 5*? Hii huku kwetu hata haiwezi itwa Hoteli. Hii ni Guest House.😀😀😀😀😀
filename-p1010439-small.jpg
Hii ni dalili ya kuishiwa hoja. Picha zote umewekewa hapo ni kwenye roof. Tunakuonesha service zinazotolewa kwenye hotel. Sijaona Hotel yoyote umeweka yenye facility ya usafiri wa anga.

Helipad.jpg

holiday-inn-belcamp-5324795322-4x3
 
Tatizo kijana wewe ni mshamba wa mambo.
Kama ukipata service unaweza ku rate. Ndivyo hivyo vi nyota nyota.
Halafu kuna Hotel classes, ndicho tunachongelea hapa. Trusted local guides wanaweka classes za hotels kwa sababu wanazijuwa na wako trusted na google. Mimi ni mmoja wa trusted local guide wa google kijana.
Unatakiwa ujifunze. Hizo rate zenye nyota nyota unaweza kuweka kwenye picha yoyote na siyo hotel pekee.

Mshamba wewe. Kwikwikwikwikwi.
Wewe kawaida yako maneno mengi hadi unatia huruma. Jana ulipokua ukinieleza niangalie google rating ya hizo hoteli ulikua umesahau zinafanywa na local trusted guides? Nimekwambia Rating ya watu wasio experts ni hiyo ya hizo stars hapo juu na hapo chini ndio the actual rating inakua standardized na experts. Saa zingine ni vyema kukubali kushindwa. Wee mwenyewe jana umeleta hapa viguest house unaita hoteli alafu unataka kuongelea mambo ya ushamba?
rr.JPG
😀😀😀😀
 
Giraffe Ocean View Hotel - Dar es salaam

giraffe-ocean-view-hotel.jpg

giraffe-ocean-view-hotel.jpg

giraffe-ocean-view-hotel.jpg

giraffe-ocean-view-hotel.jpg
 
Hii ni dalili ya kuishiwa hoja. Picha zote umewekewa hapo ni kwenye roof. Tunakuonesha service zinazotolewa kwenye hotel. Sijaona Hotel yoyote umeweka yenye facility ya usafiri wa anga.

Helipad.jpg

holiday-inn-belcamp-5324795322-4x3
😀😀😀😀
😀
Yani chopper ndiyo inayokutia kiwewe hivi? Chopper kitu kinachotua hata vijijini na porini? Boss, ushamba utakumaliza.😀😀😀😀

Hiyo hoteli ni ovyo sana. Hata Eka Hotel ambayo sii 5* imeishinda na mbali.
37997277.jpg
ekahotel1.jpg
5-1200x900.jpg
 
Wewe kawaida yako maneno mengi hadi unatia huruma. Jana ulipokua ukinieleza niangalie google rating ya hizo hoteli ulikua umesahau zinafanywa na local trusted guides? Nimekwambia Rating ya watu wasio experts ni hiyo ya hizo stars hapo juu na hapo chini ndio the actual rating inakua standardized na experts. Saa zingine ni vyema kukubali kushindwa. Wee mwenyewe jana umeleta hapa viguest house unaita hoteli alafu unataka kuongelea mambo ya ushamba?View attachment 783547 😀😀😀😀
Leta hiyo comment niliyosema hivyo. Mimi huwa naenda kwa ushahidi kijana. Mimi siyo mbumbumbu kama wewe.
Ndiyo maana hapo kwenye picha unaona reviews. Kajifunze kwanza kutumia google maps. Kisha nenda kasome ili ujue google local guides levels na majukumu yao. Kisha utakuja hapa na kujicheka mwenyewe.

upload_2018-5-22_13-28-38.png
 
Hebu niwakumbushe kidogo.😎😎😎😎

Dar
1. Hyatt Regency
2. Dar Serena
3. Sea Cliff

Nairobi
1. The Nairobi Safari Club
2. Sarova Stanley
3. Fairmont Norfolk
4. Villa Rosa Kempinski
5. Sankara
6. Nairobi Serena
7. Azure
8. Windsor
9. Laico Regency
10. dusitD2
11. Tribe
12. Palacina
13. Radisson Blue
14. Hemmingways
15. Hilton
16. House of Waine
17. Concord
18. Panari
19. Safari Park Hotel
 
😀😀😀😀
😀
Yani chopper ndiyo inayokutia kiwewe hivi? Chopper kitu kinachotua hata vijijini na porini? Boss, ushamba utakumaliza.😀😀😀😀

Hiyo hoteli ni ovyo sana. Hata Eka Hotel ambayo sii 5* imeishinda na mbali.
37997277.jpg
ekahotel1.jpg
5-1200x900.jpg
Weka facilities za hotel zenu ili tuanzie hapo kwanza. Kisha tufananishe na za kwetu.
 
Five star nairobi ni zaidi ya tano
Kempinsky villarosa
Sankara hotel
Radisson blue
Lazizi premire
Boma hotel
Eka hotel
Intercontinental hotel
Sarova stanley
Fairmont
Hemingways karen
Crown plaza hotel upperhill
Baadhi ya izi nilizo taja international nrands ni 6
huu ni ushahidi tosha kwamba wakenya hamuzijui five star hotels na hamjawahi ziona karibuni dar mzione!!
 
Leta hiyo comment niliyosema hivyo. Mimi huwa naenda kwa ushahidi kijana. Mimi siyo mbumbumbu kama wewe.
Ndiyo maana hapo kwenye picha unaona reviews. Kajifunze kwanza kutumia google maps. Kisha nenda kasome ili ujue google local guides levels na majukumu yao. Kisha utakuja hapa na kujicheka mwenyewe.

View attachment 783553

Nirudi huko nyuma kwote kwa sababu ya umbumbumbu wako. Mwanzo wacha kujichanganya mwenyewe. Umesema kwanza yeyote anaweza kubadilisha rating ya hoteli. Nikakuonyesha jinsi mambo yalivyo kwamba kuna rating ya customer na professional rating. Sahii unakuja hapa na mambo ya local guides wakati mwanzo umesema yeyote anaweza badilisha. You can't fool people kijana. Thing is, Dar hamna mahoteli. Kubali upumzike.
Tatizo lako unaweka vihotel vya ajabu ajabu tu. Unaangalia kwenye google classes zilizowekwa na "google local guides"
Haya mambo kila mtu anaweza akafanya hivyo. Hata mimi huwa nikiwa na muda huwa nafanya contribution kwenye google map kama local guid na kuweka classes za hizo hotel. So sidhani kama ni issue kubwa hiyo. Nipe siku tatu nitakuletea hotels zote unazoziona 3* Tanzania zitakuwa na 5*. Mbona simple tu kijana.
Hapa tunataka utuoneshe services za hizo hotels.
 
Kama Crowne Plaza ya Nairobi ni 4-star, basi Dar is slum hakuna 5-star ata moja.
Kwa sababu Crowne ingelikuwa Dar ingekuwa hoteli namba moja.
nyie mbona mwapenda maneno maneno!!weka five star hotels hapa halafu tulete za bongo!!
 
Weka facilities za hotel zenu ili tuanzie hapo kwanza. Kisha tufananishe na za kwetu.
Saa zingine unaongeanga kama mwenye una ugali kwa kichwa badala ya ubongo. Umeniwekea picha, nimekuwekea picha sasa unasema nikuwekee facility. Hivi unataka nikutumie GYM ya hoteli kwa Uber ama nini?😀😀😀
 
nyie mbona mwapenda maneno maneno!!weka five star hotels hapa halafu tulete za bongo!!
Wee nawe unataka tukuwekee haya mambo mara ngapi ndio uridhike? Ndio hizo 5* za haya majiji mawili.
Dar
1. Hyatt Regency
2. Dar Serena
3. Sea Cliff

Nairobi
1. The Nairobi Safari Club
2. Sarova Stanley
3. Fairmont Norfolk
4. Villa Rosa Kempinski
5. Sankara
6. Nairobi Serena
7. Azure
8. Windsor
9. Laico Regency
10. dusitD2
11. Tribe
12. Palacina
13. Radisson Blue
14. Hemmingways
15. Hilton
16. House of Waine
17. Concord
18. Panari
19. Safari Park Hotel
 
Back
Top Bottom