Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ardhi niko nayo na nimeandika vijana saba kazi, mimi nimejiajiri sio kama wewe umeandikwa na ccm😀😀😀
aliyekuuliza kama umejiajiri ama una vijana wangapi ni nani....?...mbona unakuwa na wenge...

unaropoka tu....halafu nasikia kama unamiliki ndege na mall 8 hapo nairobi
 
alaf collo mzii anakwambia wamejiajiri😀😀
unemployment kenya ni jambo linalowatesa wengi sana wakenya

 
meanwhile
IMG_20180522_103703.jpg
 
The best Tanzanians can do here is look for negative news about Kenya and post ila ukiwaambia twende kwa facts wanashindwa kabisa.😀😀😀
 
Kitu kama hii Dar wanakiweza kweli?😀😀😀😀

Nairobi mambo yetu ni 5* tuu.😀😀😀

DusitD2 Hotel
DusitD2-Final1-1.jpg
 
Back
Top Bottom