Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pwa hahahahaha!!! 5 Star hotel ya kenya. Hebu tutajie jina lake please!!
Inaitwa Laico Regency. Ndio hii hapa
fit.ashx
laico-regency-hotel.jpg
 
Mmeshapost Serena, Kilimanjaro na Sea Cliff. Mshamaliza 5* sasa. Acheni magwiji wawaonyeshe sasa.😀😀😀😀😀
Tatizo lako unaweka vihotel vya ajabu ajabu tu. Unaangalia kwenye google classes zilizowekwa na "google local guides"
Haya mambo kila mtu anaweza akafanya hivyo. Hata mimi huwa nikiwa na muda huwa nafanya contribution kwenye google map kama local guid na kuweka classes za hizo hotel. So sidhani kama ni issue kubwa hiyo. Nipe siku tatu nitakuletea hotels zote unazoziona 3* Tanzania zitakuwa na 5*. Mbona simple tu kijana.
Hapa tunataka utuoneshe services za hizo hotels.
 
Kati yangu nawewe nani anaweka vihoteli vya kiajabu? Are you even listening to yourself? Nionyeshe mahali nilipopost hoteli ya kiajabu kama hivi?😀😀😀

Hong Kong Hotel Dar Es Salaam
20171014-173723-largejpg.jpg

83516697.jpg

hong-kong-hotel-26369-a44baf0002de31da466194fce4d1c0e0d8e2f2e5.jpeg
 
Kati yangu nawewe nani anaweka vihoteli vya kiajabu? Are you even listening to yourself? Nionyeshe mahali nilipopost hoteli ya kiajabu kama hivi?😀😀😀

Tatizo lako unaweka vihotel vya ajabu ajabu tu. Unaangalia kwenye google classes zilizowekwa na "google local guides"
Haya mambo kila mtu anaweza akafanya hivyo. Hata mimi huwa nikiwa na muda huwa nafanya contribution kwenye google map kama local guid na kuweka classes za hizo hotel. So sidhani kama ni issue kubwa hiyo. Nipe siku tatu nitakuletea hotels zote unazoziona 3* Tanzania zitakuwa na 5*. Mbona simple tu kijana.
Hapa tunataka utuoneshe services za hizo hotels.
 
Wekeni 5* bana. Hizo vitu mnazoweka ni Guest House.😀😀😀

Back
Top Bottom