Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kwa akili yako unaona hiyo apartment ni kitu ya kuita hotel. Najua Dar apartment biildings ni kidogo ila punguza ujinga kuleta vitu vya ajabu na kuviita hoteli. Such buildings here in Nairobi ni apartments za kupangisha, sio hoteli. Hiyo tribe unadharau huwezi afford hata kununua kikombe cha chai. Pengine uuze mali yako yote na wewe pia ujiuze
so tribe hotel nayo ni hotel???😀😀😀
hvi wewe akili yako iko sawa sawa kweli ???
hzo appartment ni za hotel ambazo wanafkia watu wenye big families na wanalipa kama wanavolipa hotels acheni ushamba na kushindanisha nairobi na dar kwenye hotels ni sawa na kukimbiza upepo yani dar kwa namna yoyote ile hamuiwezi hata ukucha sinazungumzia zanzibar hapo heheheh😛😛😛😛
 
View attachment 783944 east coast giant's 😛😀😀
usijiaibishe plz
FCF6F97C-975D-4902-9C49-0C59C6A99790.jpeg
 
Tribe is the best hotel in East and central Africa. Somebody has to have a serious mental problem to compare it with this dirt called sijui Greenlight whatever. Heri angejaribu Kilimanjaro.😀😀😀

Greenlight Hotel
38773095.jpg

51f30275-60cf-493d-865a-61d046701d73-jpeg.783936


Tribe Hotel
4b.jpg
the-tribe-1-1024x576.jpg
Tribe-Hotel-Nairobi.jpg
 
Tribe is the best hotel in East and central Africa. Somebody has to have a serious mental problem to compare it with this dirt called sijui Greenlight whatever. Heri angejaribu Kilimanjaro.😀😀😀

Greenlight Hotel
38773095.jpg

51f30275-60cf-493d-865a-61d046701d73-jpeg.783936


Tribe Hotel
4b.jpg
the-tribe-1-1024x576.jpg
Tribe-Hotel-Nairobi.jpg
green light hotel weka picha zote
unaleta ujanja wakishamba hapa
7BBEADE4-5A37-448C-8472-787E06826C6E.jpeg
05C0656A-9A80-4564-B861-A63E45513F48.jpeg
B1D8EA71-FDE5-4C3A-B9E5-9442DA6073D9.jpeg
2373C1C2-4D71-4FA1-B11E-5AA7F07BA681.jpeg
 
Ubaya wako ni kwamba unabisha mambo ya Nairobi wakati unaishi tandale. Unataka tukuambie zitakuwa over 5 floors?
kasema majengo yote ni over 30 nikamuuliza ar u sure sasa unataka kunambia zote majengo over 30???
 
westlands hapana mchezo.....naona inaikimbiza posta teketeke
kwamba wafikie hapa😀😀😀au sio
yani mutasugua gaga mpaka yesu anashuka
hio density kusanya CBD yenu kusanya upper hill kusanya westaland hapo sijagusa kariakoo
EB658F6D-0E87-47B4-985A-3129C7594072.jpeg
AE2C5990-480D-42F9-9A9F-C9ED85FB3DA4.jpeg
 
Back
Top Bottom