ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kumbe zanzibar unaiheshimu heheh vzr sana😀😀Pengine Zanzibar ndio iko mbele ya nairobi na ni kwa vile ni island city .
kumbe zanzibar unaiheshimu heheh vzr sana😀😀Pengine Zanzibar ndio iko mbele ya nairobi na ni kwa vile ni island city .
Zanzibar tutaipea Malindi. Wasijali.😀😀Pengine Zanzibar ndio iko mbele ya nairobi na ni kwa vile ni island city .
tuanze kusanya malindi mombasa na lamu ilete kwa zanzibar tuone kama hukukojoa wima wewe😀😀Zanzibar tutaipea Malindi. Wasijali.😀😀
Zanzibar iko poa.kumbe zanzibar unaiheshimu heheh vzr sana😀😀
swali zuri kwanza waanzie hapoHow many 5 star hotels in Nairobi?
umechinja mtuKijana kuwa 5 star siyo ghorofa la duara hilo. Ni requirements na services zinaifanya hotel kuwa 5 star. Ondoa ushamba wa kibera kijana.

wapo kula pesa za wakenya😀😀
mpaka 2022 watakua washakula pess ngap za bure 😀😀😀😀😀 wkati ww unaishi kariobangi huna hata ramani ya kupata ardhi wala kaziHao tunawangoja 2022 waende nyumbani aibu kwa taifa letu😀😀😀
Ardhi niko nayo na nimeandika vijana saba kazi, mimi nimejiajiri sio kama wewe umeandikwa na ccm😀😀😀mpaka 2022 watakua washakula pess ngap za bure 😀😀😀😀😀 wkati ww unaishi kariobangi huna hata ramani ya kupata ardhi wala kazi
Mnaubavu ?? 2022 Chuma Ruto anaisimamia kampeni. 2022 Ruto na team yake wanaingia ikulu mapema.Hao tunawangoja 2022 waende nyumbani aibu kwa taifa letu😀😀😀
Tanzania hatupendi kukaa kwenye matundu vya njiwa.Leta picha moja ya Dar, yenye inaonyesha organized housing. (aerial view)
And don't bring the fancy estates.
pwahahahahahahaa.........Hapana, 5 star ndio hii.😀😀😀😀
![]()
heheh ardhi ya kwenye ndoto😀😀😀😀Ardhi niko nayo na nimeandika vijana saba kazi, mimi nimejiajiri sio kama wewe umeandikwa na ccm😀😀😀
Naona ANAEL ametembezwa Nairobiwatakuambia mega city.....hebu check mazingira ya nairobi yalivyo machafu halafu...mijitu inarandaranda hovyo town for nothing
![]()
![]()
jobless
