Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,598
- 15,704
Hizo picha sio za cbd. Hizo ni estates. Najua Dar mko na estates ndani ya cbd ila hayo sio mambo ya nairobi. Huku kwetu cbd ni pahali pa kuchaba kazi kisha tunaenda zetu estate.Bro pole bana usiumie sana.
Mnapojenga Yale ma 8 lanes na ma outering mnafanya kukumbuka na humo streets kwa CBD.
Dar INA mapungufu yake lakini Nairobi haina uwezo tena wa kuisahihisha.