Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vijana mnapiga domo sana. Mmeshindwa kushirikiana au hotels zimeisha?

City lodge hotel upperhill 😀😀😀
unnamed (6).jpg
images (66).jpeg
8a8b5a10_z.jpg
images (64).jpeg
images (65).jpeg
 
Nimeona kijana wa Nairobi. Ameanzisha thread. Hii nidhahili hawa jamaa tumewashika vibaya sana wanatapa tapa tu. Mimi nimempuuza tu maana hiyo thread itajifia yenyewe. Anatafita attention yani jama kama mtoto. Hawezi kuvumilia maumivu.
 
wamesahau waziri wao najib balala alichozungumza😀😀😀😀😀
 
Nimeona kijana wa Nairobi. Ameanzisha thread. Hii nidhahili hawa jamaa tumewashika vibaya sana wanatapa tapa tu. Mimi nimempuuza tu maana hiyo thread itajifia yenyewe. Anatafita attention yani jama kama mtoto. Hawezi kuvumilia maumivu.
hehhe kakimbia hapa kakutana na kibano cha kisawasawa hapa 😀😀😀😀
 
Hawaiwez dar kwenye hotel ..yule tourism officer wao cjui minister c alishawaaibisha
anaitwa najib balala waziri wao wa utalii aliwaambia kua wanashindwa utalii kwasababu wana hoteli za miaka 40 iliopita wakat tanzania kuna modern hotels😀😀😀
 
Na bado mawe ya moto yanakuja Kutoka Dar
This year
Rotana hotel 5star
City Lodge hotel kama sikosei 5star if not 4
Morocco Square Hotel 4star
 
Sasa tukiongea zenye ziko njiani ata usitaje na zote ni international brands kama
Marriott's 35flrs u/c( avic hotel)
Hilton 45flrs u/c pinnacle tower 2
Na zingine mingi😀😀😀
 
Back
Top Bottom