Acha uboya wewe. 5* hotels ni kidogo sana eneo hili na Dar haiwezi Nairobi kwa hizo. Dar kuna 5* hotel moja pekee, Kilimanjaro hotel.Tumekeambia uweke 5 star. Kijana mbona hujielewi. Weka 5 star nasi tutathibitisha. Hatutaki uongo humu. Hii siyo JamiiForums.com, huko mnalishana uongo uongo tu.
Avic iko 15flrs abayo dio itakua Marriott's na 35flrsNakwambia za mwaka huu we unaongelea amabzo msingi inachimbwa
Hilton ata ni 5* mzee ndio nimefanya reserch nikaonaKijana kuwa 5 star siyo ghorofa la duara hilo. Ni requirements na services zinaifanya hotel kuwa 5 star. Ondoa ushamba wa kibera kijana.
Acha uboya wewe. 5* hotels ni kidogo sana eneo hili na Dar haiwezi Nairobi kwa hizo. Dar kuna 5* hotel moja pekee, Kilimanjaro hotel.
Kama ni uongo basi nipe hoteli nyingine 5* hapo Dar. Nipe moja sahii.Ukishindwa uciongee uongo
Kijana nikuulize swali moja. Kitu gani kinafanya hotel kuwa 5 star?
Tatizo kijana ushamba umekukaa. Hivi ni nani anaye rate kuwa hii hotel ni 5 star? Je kuna organization ya kufanya rating?Acha uboya wewe. 5* hotels ni kidogo sana eneo hili na Dar haiwezi Nairobi kwa hizo. Dar kuna 5* hotel moja pekee, Kilimanjaro hotel.
Mention 5 rating agencies?The amount of luxury.
But it is a subjective matter. Depends on the rating agency - and they are several agencies.
If Dar hotels are put on the same scale declaring Crowne, Eka etc 4-stars, those Dar hotels would end up being 2 and 3 stars. 😀😀😀😀
Lakini akina Hong Kong ata haziwezi ruhusiwa kwa the star grading system.
Kama ni uongo basi nipe hoteli nyingine 5* hapo Dar. Nipe moja sahii.
Ya kwanza ilikua na kasoro kidogo juu sikua nimefanya reserch vizurihehehehe leo nimekamata zile nyuzi za makei na kuzivuta taratibu kabisa😀😀😀😀😀
Leta 5* zenyu alafu ndio twende 4stars tuone nani ameshikwa makende kati yangu na wewehehehehe leo nimekamata zile nyuzi za makei na kuzivuta taratibu kabisa😀😀😀😀😀
Five star hazipiti tatu darGoogle is everywhere. Why don't you use it?
hebu taja hizo 4 hotelskumbe nairobi nzima kuna 4 hotels with 5* heheh nimecheka sana😀😀😀😀 alaf muntaka kutunisha misuli kwa dar
Dar has 3Google is everywhere. Why don't you use it?
Hiyo ndio tunaita kubadilisha goli. Kwa picha mmelemewa, rating mnatoa excuses. leo mmepatikana.😀😀😀Tatizo kijana ushamba umekukaa. Hivi ni nani anaye rate kuwa hii hotel ni 5 star? Je kuna organization ya kufanya rating?
Rating ya hotel inatofautiana nchi na nchi. Kijana. Wengine hutumia kigezo cha service, wengine hospitality. Ninaendelea kuwaona vijana wa Nairobi kuwa ni hopeless. Hamjui dunia inaendaje.
Mshamba wewe nenda shule kwanza ndipo uje kujadiliana na sisi wasomi.
Dar ina tatu pekee. Nairobi ina 13. Hatuko ligi moja boss.kumbe nairobi nzima kuna 4 hotels with 5* heheh nimecheka sana😀😀😀😀 alaf muntaka kutunisha misuli kwa dar
Wah na bado umeacha leico regency na serana walai hawa watu hakuna kitu wanatuambia😀😀😱😀Dar has 3
Kilimanjaro
Serena
Sea Cliff
Nairobi has
1. Fairmont Norfork
2. Nairobi Serena Hotel
3. Villa Rosa Kempinski
4. Hilton Hotel
5. Sarova Stanley
6. Windsor Hotel
7. Sankara Hotel
8. Hemmingways Hotel
9. Palacina hotel
10. DusitD2 hotel
11. Four points by Sheraton
12. Radisson blu
13. Tribe Hotel
Wacha niongezeWah na bado umeacha leico regency na serana walai hawa watu hakuna kitu wanatuambia😀😀😱😀