Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana mbona povu jingi sana. Hotel zimeisha hapo Nairobi? Dar nikubwa sana kijana.
hivyo viotel alivyopost huyo mkenya.......ziangalie kwa makini......

anaweza kukufanyia uhuni.......mix master
 
Kweli tuna definitions tofauti za kulia.
Leo uhondo kamili wa Dar is Slum umejulikana.
Kumbe hamna kitu huko. Si flyover, si organized housing, si hoteli.
Pole sana.
heheh leo nimecheka sana alaf munataka kutunisha misuli kwa dar 😀😀😀😀😀
 
Hoteli gani iko na junk food KFC kwa ground floor?
Toa uchafu. Hilo ni jengo multi-purpose wala si hoteli pekee yake. Majengo kama hayo yamejaa Nairobi.
That could be a commercial building housing many outlets and it happens that the said hotel is renting some space inside that building maybe one or two floors. The KFC logo tells it all. To me, that is a restaurant, not a hotel
 
Wewe za Nairobi unazoleta unatoa ushahidi gani? Itabidi uwache kukunywa mchuzi wa albino angalau ufikirie kidogo
Kama hapo uta argue si nairobi!?
FB_IMG_1526225730886.jpg
 
unapost pic mpaka za kwenye national park hehehhe na sisi tuanze za national park sasa
kuweni nae makini........kwenye hizo hotel anazo post kwani.....kuna changa

we jiulize hizo hotel siku zote alukywa wapi kuzipost
 
That could be a commercial building housing many outlets and it happens that the said hotel is renting some space inside that building maybe one or two floors. The KFC logo tells it all. To me, that is a restaurant, not a hotel

Exactly. And by the look of it, probably renting a very small space. Because they don't even have a big hotel on the building.
 
Hio ni budget hotel, at most 3 star.
Hio ikikuja Dar is slum mnaipea 5 star papo hapo.
Hizo hong kong zenu ata haziwezi itikiwa kwa star grading system.
Vijana mnapiga domo sana. Mmeshindwa kushirikiana au hotels zimeisha?
 
Back
Top Bottom