Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unalazimisha mambo? Ramada ni ile yenu ya Dar. Hii ya Nai inaiitwa vivyo hivyo alivyoandika
Kuna fala hapa anasema Safari Park Hotel iko kwa national park.😀😀😀😀 Maboya hawaamini Nairobi ilivyo mbele.

Safari Park Hotel in the Heart of Nairobi - Kasarani
133986660.jpg
safari-park-hotel.jpg
sp-htl-2-800x600.jpg
 
I don't really get the point of this thread if Dar a coastal city can be defeated by Nairobi in almost every aspects INCLUDING HOTELS [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].... This is no longer a war then...
tapatalk_1526917031654.jpeg
tapatalk_1526917014449.jpeg
tapatalk_1526916884840.jpeg
 
Ameona hiyo jina "park" akachanganyikiwa. Achana na huyo boya. Ataelewa tu hii sio Dar is slum
Majamaa ni wakuhurumia tu. Hata na google bado mtu hawezi fanya karesearch kabla aropokwe.😀😀😀😀
 
Wee boya sijapost Lazizi hotel. Unadhani sisi ni kama nyie? Kuna mahoteli NAIROBI kibao hatujapost.
Mnaongea sana vijana wa kenya. Unaongea sana action zero.
Nimekupiga za uso uso sasa hivi unawaya waya tu. Umeishiwa kijana.
 
Mnaongea sana vijana wa kenya. Unaongea sana action zero.
Nimekupiga za uso uso sasa hivi unawaya waya tu. Umeishiwa kijana.
Hakuna za uso umepigana, mapicha yote unapachika ni ya aibu dar imeacha nairobi kwa mdomo
 
Majamaa ni wakuhurumia tu. Hata na google bado mtu hawezi fanya karesearch kabla aropokwe.😀😀😀😀
They discuss with a lot of emotions, how do you expect them to conduct some little research? Hata links wanazoleta hawasomangi kujua inaongelea nini
 
Back
Top Bottom