Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sarova Panafric Hotel Nairobi
sarova-panafric.jpg
336.jpg
2e7ea9fe_z.jpg
 
Mkuu walidhani wameweza.kumbe wanatakiwa kukaza mat*ako.
Hahahaha. Ninawachezesha kweli. Ninatupi kitu kibaya kibaya halafu wanakuja kichwa kichwa nawagonga za ukweli. Hahaha. Sasa hivi wameishiwa hutawaona tena.
 
Mimi nilishaidharau muda tu Nairobi. Hakuna kitu huko. Nilitegemea utaleta vitu vya maana nimeona unatuchafulia tu thread.
unajua nimegundua huyu jamaa analeta hotel mpaka za kwenye national park sijui ushaona hilo??😀😀😀
 
Sophia House Hotel Dar Es Salaam
sophia-house-hotel-apartments.jpg


RAHA+TOWER+BUILDING-BIBI+TITI+MOHAMMED+AND+AZIKIWE+STREET+JUNCTIONS.JPG
 
Yani umeangilia Dar nzima ukaona hii ndio estate ya maana unaweza leta. Halafu, mbona ni estate moja tu umeleta? Dar kuna tu hiyo kijichi (kijiji)? Ndugu, tukubaliane tu kwamba Nairobi could be having some of the worst slums but it has better and organized estates than you would find anywhere in Dar. Mitaa za Nairobi ni bora tena yako organized kushinda za Dar. Kataa tu lakini huo ndo ukweli
tatizo hauijui dar......na ushukuru sana hatuna wingi wa picha za aerial view za makazi ....

ila kuna sehemu nyingi na nikubwa sana zikipigwa pucha kwa juu unapata view hata 50 tena zikiwa ni mitaa tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom