Bringing the fancy beach estates as ussual. Nani hajui kwamba popote pale duniani beach propeties and estates ni za wadosi? Sasa unataka kutuambia kwamba hapo ndo kila mwanadar anaishi? Those estates are the equivalents of Muthaiga, Runda and Karen here in Nairobi ( ingawa bado haziwezifikia viwango vya karen et al). Tuletee earial views of estates where ordinary people in Dar live. Watu kutubeba ufala
mwambie alete ushahidi kua ni dar akileta tu nampa dada yangu bure kabisa picha yakwanza aliopost ni zanzibarAtakuambia hizo sio picha za Dar. Wajinga kweli
jamaa ebu kuwa muelewa,hapo umeambiwa "WORSE SLUMS"umeelewa maana yake???sasa ebu jifikirishe ikiwa dar kuna slums mbona haipo kwa list????It may surprise you but all those slums occupy a very small area of Nairobi in terms of square km.
Look at a general Nairobi map from the sky and you'll see lots of green and organized housing.
On the other side, the whole Dar (minus the CBD) looks like an large, endless, ugly Kibera.
so hutaki kuletewa picha za dar ulitaka uletewe picha za wapi???Bringing the fancy beach estates as ussual. Nani ajue kwamba popote pale duniani beach propeties and estates ni za wadosi? Sasa unataka kutuambia kwamba hapo ndo kila mwanadar anaishi? Those estates are the equivalents of Muthaiga, Runda and Karen here in Nairobi ( ingawa bado haziwezifikia viwango vya karen et al). Tuletee earial views of estates where ordinary people in Dar live. Watu kutubeba ufala
Wewe za Nairobi unazoleta unatoa ushahidi gani? Itabidi uwache kukunywa mchuzi wa albino angalau ufikirie kidogomwambie alete ushahidi kua ni dar akileta tu nampa dada yangu bure kabisa picha yakwanza aliopost ni zanzibar
Sasa hizi si kama nyumba za polisi wa ngazi za chini Kurasini!Mombasa
![]()
unataka ushahidi nikuletee naomba ujibu unataka ushahidi sasa hvi nikuletee😀😀😀😀😀Wewe za Nairobi unazoleta unatoa ushahidi gani? Itabidi uwache kukunywa mchuzi wa albino angalau ufikirie kidogo
Sasa sisi tukianza kuleta za karen, Riverside, Muthaiga, Runda, Muthangari, kileleshwa nk hapa kutakalika? Tunachotaka ufanye ni kwamba tuletee picha za angani za middle income estates, sio za wadosi. Hizo ulizoleta tunaweza tu linganisha na Hurlingham, Kilimani, Lang'ata na maybe parklands huku Nairobi. Hata westlands haiwezi linganishwa na mbezi beach au oysterbay. Tuletee mitaa za kawaida kama umoja, Kasarani, Buru Buru, Donholm, Kayole, Zimmerman na kadhalika. Those are estates where ordinary people live, sio za wadosi jinsi ulivyofanya hapo juuso hutaki kuletewa picha za dar ulitaka uletewe picha za wapi???
matusi ya nn sasa😀😀😀😀😀
Hpa ni kijichi mbagala 50km from CBDSasa sisi tukianza kuleta za karen, Riverside, Muthaiga, Runda, Muthangari, kileleshwa nk hapa kutakalika? Tunachotaka ufanye ni kwamba tuletee picha za angani za middle income estates, sio za wadosi. Hizo ulizoleta tunaweza tu linganisha na Hurlingham, Kilimani, Lang'ata na maybe parklands huku Nairobi. Hata westlands haiwezi linganishwa na mbezi beach au oysterbay. Tuletee mitaa za kawaida kama umoja, Kasarani, Buru Buru, Donholm, Kayole, Zimmerman na kadhalika. Those are estates where ordinary people live, sio za wadosi jinsi ulivyofanya hapo juu
tena hii ni old achilia mbali ile inajengwa sasa hvi modern electric train in africa😀😀😀😀😀
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
jamaa ebu kuwa muelewa,hapo umeambiwa "WORSE SLUMS"umeelewa maana yake???sasa ebu jifikirishe ikiwa dar kuna slums mbona haipo kwa list????
NB:hata ukienda kwa ramani za google yaani " Google map" dar hakuna slums.lakini Nairobi zipo zaidi ya 20!!na ukizingatia kieneo dar ni kubwa kuliko Nairobi,msipende kulazimisha mambo nyie wakenya..
One charactrristic ya slum ni mrundukano wa nyumba. Katika hiyo picha jliyoleta, hakuna "breathing space" so it qualifies to be called a slum. The second feature of a slum ni zile nyumba hupatikana huko. Hiyo picha inaonyesha nyumba za mabati zulizorundikana mahali pamoja. There are no public places, no proper planning, and no decent houses (I hear you call them dream houses) What's the difference between that picture above and Kibera? Tell me one or two differences and I will listen to you![]()
Kwani Slum ni nini? Mbona hapo nyumba zimekaa kwenye mpangilio na mitaa inaonekana na kueleweka? Hapo ni high density area, nyumba hazina viwanja vikubwa. Kingine ni mabati tu yana kutu. Mitaa hio iko magomeni,ilala na temeke. Nyumba ziko karibu karibu ila mitaa imenyooka na inaeleweka. Sio slum hio.
JUST BECAUSE NOBODY SAID YOU HAVE A SLUM DOESNT MEAN YOU DONT HAVE ONE
so sgr ni gari moshi na hio ni gari moshi.....unga imetoka kwa ugali😀😀😀😀😀
Yani umeangilia Dar nzima ukaona hii ndio estate ya maana unaweza leta. Halafu, mbona ni estate moja tu umeleta? Dar kuna tu hiyo kijichi (kijiji)? Ndugu, tukubaliane tu kwamba Nairobi could be having some of the worst slums but it has better and organized estates than you would find anywhere in Dar. Mitaa za Nairobi ni bora tena yako organized kushinda za Dar. Kataa tu lakini huo ndo ukweliHpa ni kijichi mbagala 50km from CBD
![]()