Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo huwa ni jibu kwa wakenya wanaosema dar kuna 3 blue heights.
Hapana mimi sijasema Dar ina skyscrapers tatu. Mimi nimemwambia Mulisaa kwamba Nairobi haina skycraper moja. Mulisaa huwa anapenda kusema Nairobi ina skycraper moja 😀😀😀😀. Na hilo ni uongo mtupu
 
swadakta.........maana huyo jamaa dunia inampita analeta ujenzi local kwa wananchi anacheza na roho za raia..
Ndio hivo mkuu. Kisha kifo chake kifanywe live kwenye runinga kuu zote nchini ili iwe funzo kwa Engineer bandia wote popote walipo, wasiwahi jaribu kujenga banda la kuku kama hili tena.
 
Avic Project at Kijitonyama

IMG_0104.JPG

IMG_0105.JPG
 
Ndio hivo mkuu. Kisha kifo chake kifanywe live kwenye runinga kuu zote nchini ili iwe funzo kwa Engineer bandia wote popote walipo, wasiwahi jaribu kujenga banda la kuku kama hili tena.
sema ni zuri sana hongera kwa engeneer
 
Back
Top Bottom