Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

8296.jpg
8298.jpg
8289.jpg
 
Haha jamaa unalia sana. Wewe ndio ulianza debate ya comedians sasa umeanza kutoa machozi. Siku nyingine usiwahi post vipicha vya magari vya wasanii wenu, kama hutaki kulia tena ichoboy
endeleeni kupost picha za magari ziko ulaya na uarabuni hehehehe nimecheka sana😀😀😀😀😀 wakat sisi tunawaonesha za hapa hapa bongo
 
Sasa kwanini useme dar es salaam iko nazo tatu au ni kujipumbaza!!!!
Hapana mimi sijasema Dar ina skyscrapers tatu. Mimi nimemwambia Mulisaa kwamba Nairobi haina skycraper moja. Mulisaa huwa anapenda kusema Nairobi ina skycraper moja 😀😀😀😀. Na hilo ni uongo mtupu
 
Back
Top Bottom