Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NANI ALIKUAMBIA
nimeshuhudia kwenye event nyingi za Kenya umarekani upo..kuna siku nilikuwa natazama marudio ya match ya gor na timu gani sijui ligi yenu Mara paaap naona mashabiki wanapeperusha bendera ya marekani nikaanza kutafuta sababu ya ile bendera kuwepo pale uwanjani,nikakosa!
hata hizo mnazoita matatu hizo picha mlizochora,asilimia kubwa ni wasanii wamarekani..yaani nimeona event nyingi sana wakenya lazima wajihusishe na marekani pasipo sababu za msingi..
 
Best Western Coral Beach - Only in Dar
30167926_10156792170101874_2034440974163145058_o.jpg

30052136_10156792167361874_7881930421826866972_o.jpg

30743026_10156792162241874_6345156527788477046_n.jpg
 
Africa Hong Kong - Dar es salaam (Best West)
Wakenya mtaweza?
30425109_10156792167231874_2700357973418623841_o.jpg

30051659_10156792170151874_7014441187074557116_o.jpg

30168079_10156792177141874_4104777477955911567_o.jpg

30848513_10156792181121874_8788234972746243667_o.jpg
 
Dar es salaam ni sehemu nzuri sana. Forget Nairobi (The great jungle of slums)

18768495_10155752922186874_8892856092439634390_o.jpg

17880661_10155592174921874_8518481977157337031_o.jpg

16112953_10155287845296874_6558955668350532262_o.jpg

15439880_10155134810456874_3090215732534794054_n.jpg
 
Naona vijana wa Nairobi wamejificha hawaonekani tena. Hahahaha
 
Rafiki Nairobi tulishaisahau. Haituumizi kichwa, kwa sasa tuaumizwa kichwa na Hong Kong.
Wacha kuhepa mjadala. Umeuliza swali umejibiwa. Gorofa za 18 floors mnashindwa kumaliza alfu mwataka kujilinganisha na Hong Kong? Ndio maana mimi husema kila mara Wabongo muna shida ya akili. Hong Kong imeshinda hata New York kwa Highrises alafu hiyo Dar yenye ukitoa TPA na PSPF inabaki gofu ndio wataka ujilinganishe nayo?😀😀😀
 
Kwikwikwikwikwi. Ona sasa ulivyo mfinyu wa kuwaza. Nairobi mpaka sasa ni vichaka na vijumba vya mabati.
Hapa vinaingia vijumba vingapi vya Nairobi.
PPF HQ dogo
31948861_10215527231636050_470880942815182848_n.jpg

MNF Towers
fce7e76ebade720cd382e0ced202f008.jpg

Morocco Square
01.jpg

494317

moroccos1-jpg.494313

Hebu jaribu kuweka project kama hizo toka Nairobi (Jungle of slums)
 
I always wonder why Tanzanians are always fussing over this midget. This is not even a building worth talking about - so many buildings like this sprucing up all over Nairobi unnoticed.
Mzee mbona povu zito hivyo. Nimekwambia in near future Dar shall be The Hong Kong of Africa.
Nairobi ilikuwa nzuri hapo zamani za kale. Lakini kwa sasa tunaongelea modern cities, Most of best cities in the world zinakuwa kando kando ya maji (Bahari, Ziwa au mto) Even Babylon ilikuwa kando kando ya mto.
Nairobi haina future. Mgewekeza zaidi Lamu au Mombasa mzee.
Hakuna mtu atakuja kutazama vichuguu hapo Nairobi. Watu wanataka kula maisha ndani ya maji mzee.

Dar ni moto wa kuote mbali usipime.
Huu ni ushauri tu dogo langu.
 
nimeshuhudia kwenye event nyingi za Kenya umarekani upo..kuna siku nilikuwa natazama marudio ya match ya gor na timu gani sijui ligi yenu Mara paaap naona mashabiki wanapeperusha bendera ya marekani nikaanza kutafuta sababu ya ile bendera kuwepo pale uwanjani,nikakosa!
hata hizo mnazoita matatu hizo picha mlizochora,asilimia kubwa ni wasanii wamarekani..yaani nimeona event nyingi sana wakenya lazima wajihusishe na marekani pasipo sababu za msingi..
Tunajihusisha na marekani kwa sababu we helped them with their 44th president. Hapo vipi?
 
Back
Top Bottom