Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #92,821
Kijana hebu angalia view kama hii toka DarI always wonder why Tanzanians are always fussing over this midget. This is not even a building worth talking about - so many buildings like this sprucing up all over Nairobi unnoticed.
Unadhani ni nani anaweza kuja kuwekeza Nairobi!!?
Serious people events kwenye bahari, siyo kwenye vichuguu vya Nairobi.
Nairobi ilifaa sana kwa wakati uliopita. Lakini kwa sasa yamebaki mapango tu, na majengo ya kizamani (Western Culture Building) Sasa hivi mzee tupo kwenye new era with modern Buildings (glass building).
Halafu majengo yanakuwa na weight ndogo. Siyo hayo hapo Nairobi yamejengwa kwa udongo kutoka chini mpaka kwenye roof.
Hapa ni Dubai
Hapa ni London
New York vs Dar es salaam