Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kumbe ni golf area dah....kweli ushamba haufai nilijua hayo ni mabwawa ya samaki....kumbe golf area aisee......nikuzuri kama peponi.....

hebu nifundishe kidogo kuhusu hiyo golf area maana mimi ni mshamba sijuagi hayo mambo halafu inaelekea wewe ni mjanja kuliko hawa wakenya wenzako ni matope kabisa....naomba unifundishe boss kuhusu golf area hivi hilo eneo lina ukubwa gani na lipo tokea mwaka gani,nani mmiliki na hizo nyasi ni za aina gani...?
Sina time yako kijana wa tanganyika. I know where you are heading. The first one is Windsor Golf and Country club, owned by the late John Michuki a former minister in the Kibaki administration. The second one is Muthaiga Golf Club, not sure about its ownership.
 
Two rivers pekee ni 67,000 sqm. Tafakari hayo. Kwa malls nilishakuambia wachana nayo kabisa. Huku kuna oversupply ya malls. Malls zingine hata ziko empty.
Malls si kitu ya kuzungumzia huku Nairobi; they are everywhere. Huku karibu kila estate iko na mall. My estate alone has two malls. Nashangaa sana watanzania bado wanazumgumza mambo ya malls. Huko tulitoka kitambo. There's already an oversupply of malls in Nairobi hata wanafaa waache kuzijenga
 
From Mlimani city this evening
Dar is beautiful mazee!!


IMG-20180515-WA0019.jpg
IMG-20180515-WA0020.jpg
IMG-20180515-WA0021.jpg
IMG-20180515-WA0022.jpg
IMG-20180515-WA0028.jpg
IMG-20180515-WA0014.jpg
IMG-20180515-WA0015.jpg
IMG-20180515-WA0016.jpg
 
Kwa upande wa city planning, Dar still has a long way to go to even start dreaming of reaching the level Nairobi has reached. Our estates are well-planned than Dar estates. This is Hurligham estate
8080.jpg
 
We debated over this over for a whole day here with Tanzanians insisting it's a 40-floor building. Some were even ssying it's a 40+ building
No its not, i debate on true facts only !
 
Kwa upande wa city planning, Dar still has a long way to go to even start dreaming of reaching the level Nairobi has reached. Our estates are well-planned than Dar estates. This is Hurligham estateView attachment 778473
But yet dar and nairobi are in two different way of city development plan, Example, london and new york dont look the same from planning but yet they all attractive in their own ways
 
Mzizima haiwezi isha mwaka huu. Tuseme tu ukweli
Iyo sio mzizima ni PPF tower...isiishe mwaka huu vp wakat kila kitu kinaenda sawasawa...ujenzi unaendelea...

Btw umeona jumba lilivyokubwa umeshtukaDon't worry buda
 
But we'll need to show them, they don't know us yet.
Dah jaribu kwenda uko ile matusi utapata hasaa kwa wanigeria usitake kuona, wanasema ati east africa ndio the poorest region in africa ati hadi wanaweza tu colonise...unajiribu kuwaskiza gdp yao kubwa ni ua mafuta lakini wapi wakutroll hadi wanakushinda juu wako wengi sanaaa kwa izo forum zao, lakini ukweli lagos ni slum, accra ni kijiji, sasa labda Abidjan Lakini ni ya kulinganisha na Khartoum na adisababa
 
Back
Top Bottom