Arnold mrass cannambo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 4,067
- 2,640
Dar Hata nipelekwe Kama nimefungwa macho siezi potea.... Nainua tu kichwa naona hizo buildings tatu za blue alafu nimefika tao... Kariokoo ni kukimbia 2 mbio straight alafu imeisha... Niko townWhat do you mean by being empty? Wewe ukiangushwa hapo Kilimani utatembea siku mzima ukitafuta njia ya kurudi town. Unafikiri hii ni ile Dar yenu iliyo na nyumba za gable everywhere zenye mabati zilizoparara na kuchanika? Huu mji umepangika babaa
