Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa tulikiwa tunabishana kwa nini juzi eti kama ppf ni 40 floors au ni 35 floors? Hebu muambie ichoboy aje ajionee mtanzania mwenzake amekubali ppf ni 35 floors. Wololo yaye
Embu hesabu apo tusibishane sana
tapatalk_1526390251775.jpeg
 
tisha sana wanadhani kujenga visix lane hatuwezi ...wakati tunajenga vitu moto zaidi ya 6 lane hapo ilipo pia ni 6lane tosha yaani nne 2lane na mbili brt huvyo tumewadouble...
tisha sana wanadhani kujenga visix lane hatuwezi ...wakati tunajenga vitu moto zaidi ya 6 lane hapo ilipo pia ni 6lane tosha yaani nne 2lane na mbili brt huvyo tumewadouble...
Unajua thika road ni ten lanes? Excitement za kishamba hizi. Tembea Nairobi uone maneno.
 
HUYU ANNAEL SIJUI NI SHULE HAKUENDA AMA NINI.... TUNAONGELEA MATATU YEYE ANAROPOKWA KUWEKA COACH BUS OF WHICH TUKIANZA KUZIMWAGA KINA MODERN COAST OXYGEN NA STEPPER ATAANZA KULIA COOKED DATA NKT!! HAHAAHAHA.... ACHA JOKES BANA
kwenye upande wa transport hamuigusi tz hata.....labda kwa upande wa anga...
 
Two rivers pekee ni 67,000 sqm. Tafakari hayo. Kwa malls nilishakuambia wachana nayo kabisa. Huku kuna oversupply ya malls. Malls zingine hata ziko empty.
Hayo yanatuhusu nn sasa
Yaani uku zinaongezeka daily Kwani hujui Mcity ni( 30k na Quality mall ni 30k (sqm?) Bado kuna mkuki 25ksqm and the list goes on...
Middle class inaongezeka kwa speed ya light kwa apo uone
 
Two rivers pekee ni 67,000 sqm. Tafakari hayo. Kwa malls nilishakuambia wachana nayo kabisa. Huku kuna oversupply ya malls. Malls zingine hata ziko empty.
Two river ni 62ksqm acha mboyoyo
 
Mwaka huu Dar inaongeza nyumba mpya kadhaa kma ifuatavyo
1.Mzizima towers A&B 35,33 flr respectively
2.MNF A&B 30flr each
3.Morroco square 22,20,17,13 flr ,Mall
4.Palm village Mall,hotel and residency building
5.Sky tower 22 flr
.....

Naongeza
Noble Victoria apartments 16frl x 2
Victoria Place 13flr x2
PPF hQ 35,14,9 and conference centre
Palm village /Ivory towers is 15flr x4
 
Unajua thika road ni ten lanes? Excitement za kishamba hizi. Tembea Nairobi uone maneno.
Thika this thika that lol you guys gives us break...Mlianza na sgr kwa pupa sasa Mnaona tz inajenga km 700+ na electric train mmeanza kupagawa,even highway sisi tunadouble km 50 haitoshi mboga
Oooh I just remember Kenya ni kanchi kadogo
 
tulieni wadhii 😀😀😀
mambo mazuri hayataki haraka
Sisi tunasema zinazoisha mwaka huu. Tunakuuliz Avic zinaisha lini halafu unakuja kuleta nyimbo. Jibu swali zinaisha mwaka huu?
 
Back
Top Bottom