Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT Phase 2 :

152ed9d9-0ed6-4fc1-8ff0-85136824c80c.jpg
 
Rafiki nimekuuliza swali zinaisha lini?
Au basi nipatie maendeleo ya ujenzi huo. Kwetu kuna project kama hiyo inaitwa Kawe 711. Imesimama kwa muda.
Lakini itaendelea mwaka huu.
maxresdefault.jpg

7.JPG

Kwahiyo usituoneshe design tunataka mwendelezo.
11flrs towers????? Ok.

nimekuonesha hapo Topping-Out Ceremony. Towers zimeanza kukamilika moja baada ya nyingine kwa kasi ya 4G
 
Aise poa kabisa. Ngoja nitaenda weekend kupig picha turushe humu waone.
By the way wasanii wa TZ wanapana sana. Shilole amekuja na Shishi Chilli
Wataelewa tu baada ya muda kidogo

Bongolala logic 😀😀😀 haha.
wameacha njugu, sasa wako kwa pilipili.... ror!
 
Haha Nai utaona nn misitu na matatu
Dar hata mimi siwezi potea even if you take me to the farthest end of that town. I simply raise my head and see the three blue towers for direction. Tangu lini nyumba za gebo zenye mabati ziliparara zikamzuia mtu kuona mbali. Huu mji wenu inachekesha sana. Yafaa niwaletee earial photos of Dar estates muone vile huu mji hauna mpangilio na kukosa nyumba za kuvutia
 
Mbona jibu rahisi sana unazunguka zungu tu. Sisi tumekueleza mwaka huu ngoma hizi zipo tayari.
1. PPF HQ
31948861_10215527231636050_470880942815182848_n.jpg

2. NHC Morocco Square Towers
536d1dc27790d351aa6fc40b37e43035.jpg

3. Mzizima Towers
38267085311_54459bef85_b.jpg

4. MNF Towers
fce7e76ebade720cd382e0ced202f008.jpg

Na maengine mengi tu
Mzizima haiwezi isha mwaka huu. Tuseme tu ukweli
 
11flrs towers????? Ok.

nimekuonesha hapo Topping-Out Ceremony. Towers zimeanza kukamilika moja baada ya nyingine kwa kasi ya 4G
Mbona unakwepa kujibu swali langu? Nimekuuliza zinaisha lini?
 
Acha kujitia aibu mbele ya uma wewe....those are golf courses mshamba wewe - the best in the region. Unaonaje hizo mandhari ukilinganisha na Dar yenu iliyochakaa?
kumbe ni golf area dah....kweli ushamba haufai nilijua hayo ni mabwawa ya samaki....kumbe golf area aisee......nikuzuri kama peponi.....

hebu nifundishe kidogo kuhusu hiyo golf area maana mimi ni mshamba sijuagi hayo mambo halafu inaelekea wewe ni mjanja kuliko hawa wakenya wenzako ni matope kabisa....naomba unifundishe boss kuhusu golf area hivi hilo eneo lina ukubwa gani na lipo tokea mwaka gani,nani mmiliki na hizo nyasi ni za aina gani...?
 
snake zone
The first pic is Giraffe Center in Nairobi. If you want to eat breakfast in the company of giraffes, that's the place to be. Mambo ya Nairobi hayo. The second pic is Karen estate. Yea, these are what we call estates in 254, not those funny structures you have in Dar. Hapo Karen hwezi afford kuishi hata uuze familia yako yote hadi ujiuze wewe pia. Ever heard of where people pay in excess of 350, 000 kenya shillings in rent per month? How many trillions are those in your currency?
 
kumbe hapo panaitwa karen,,,,sehemu ambayo nikiuza familia yangu na nikijiuza mwenyewe siwezi kuefford.....dah mtuume nilikuwa sijui.....

maana nilifikiri hapo ni natinal park ya monkey and snake....daaah kumbe ni expensive zaidi ya familia za wakenya. asante sana kwa kunijuza,,,,
 
Back
Top Bottom