Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,291
- 3,647
kuna moja au mbili already ziko topped-out.Sisi tunasema zinazoisha mwaka huu. Tunakuuliz Avic zinaisha lini halafu unakuja kuleta nyimbo. Jibu swali zinaisha mwaka huu?
kuna moja au mbili already ziko topped-out.Sisi tunasema zinazoisha mwaka huu. Tunakuuliz Avic zinaisha lini halafu unakuja kuleta nyimbo. Jibu swali zinaisha mwaka huu?
nitembee mara ngapi....hapo nairobi hakuna cha ajabu.........ila kwa upande wa vibarabara mmejitahidi kidogo siyo kivileUnajua thika road ni ten lanes? Excitement za kishamba hizi. Tembea Nairobi uone maneno.
ngoja mambo yakae sawa kwenye hii highway inayojengwa watajutaThika this thika that lol you guys gives us break...Mlianza na sgr kwa pupa sasa Mnaona tz inajenga km 700+ na electric train mmeanza kupagawa,even highway sisi tunadouble km 50 haitoshi mboga
Oooh I just remember Kenya ni kanchi kadogo
Mbona jibu rahisi sana unazunguka zungu tu. Sisi tumekueleza mwaka huu ngoma hizi zipo tayari.kuna moja au mbili already ziko topped-out.
nganya ni uchafu tu😀😀😀😀He Ukiongea MUTU anaezadhani UMeishi Nairobi nika 20 na Kumbe umetoka KIGOMA... NAIROBI unaona kwa Tv.... Uliza Zari ama diamond Nairobi ndio KUSEMA nini We bado ujakanyaga jiji Dar is a fishing village
38flr haya zungumza sasa😀😀😀😀Nimehesabu 35 floors. Ichoboy alikuwa anasema ziko 40. Wacha aje, leo ni siku yake.
hahah asante sana nimeona mpaka namibia wanaleta gari zao for upgrades😀😀😀😀these guys TTTR AUTO UPGRADES i respect them.They do a great job
mm nasubiri kuona ile 40flr na tutahesabu moja baada ya moja 😀😀😀😀kuna moja au mbili already ziko topped-out.
endelea kujipa moyo😀😀😀Sasa eti nyinyi pia mna wachekeshaji? Comedy industry yenu is non-existent 😀😀😀
Mbona jibu rahisi sana unazunguka zungu tu. Sisi tumekueleza mwaka huu ngoma hizi zipo tayari.
1. PPF HQ
![]()
2. NHC Morocco Square Towers
![]()
3. Mzizima Towers
![]()
4. MNF Towers
![]()
Na maengine mengi tu
Aika
Mbona jibu rahisi sana unazunguka zungu tu. Sisi tumekueleza mwaka huu ngoma hizi zipo tayari.
1. PPF HQ
![]()
2. NHC Morocco Square Towers
![]()
3. Mzizima Towers
![]()
4. MNF Towers
![]()
Na maengine mengi tu
imeshaanza tayari nilipita hapoRafiki nimekuuliza swali zinaisha lini?
Au basi nipatie maendeleo ya ujenzi huo. Kwetu kuna project kama hiyo inaitwa Kawe 711. Imesimama kwa muda.
Lakini itaendelea mwaka huu.
![]()
![]()
Kwahiyo usituoneshe design tunataka mwendelezo.
Rafiki nimekuuliza swali zinaisha lini?
Au basi nipatie maendeleo ya ujenzi huo. Kwetu kuna project kama hiyo inaitwa Kawe 711. Imesimama kwa muda.
Lakini itaendelea mwaka huu.
![]()
![]()
Kwahiyo usituoneshe design tunataka mwendelezo.
ichoboy01 kasema wamesha resume na hiyo project. Weekend hii nitaenda kuchukua picha ya progress na niweze kujua status ya project hiyo.Hawa cjui kwann walisimama ..na wakati walipokea loan over 4trillion tshs from pta bank south africa kwa ajili ya kuendeleza kawe city ..walikuwa na project nyngne kujenga financial hub upanga itayocost 500mil usd ,na pia wana proposal kujenga tower nying kama independence ,1088na makutano trading
na pia kuna kawe city project lazima wajengeHawa cjui kwann walisimama ..na wakati walipokea loan over 4trillion tshs from pta bank south africa kwa ajili ya kuendeleza kawe city ..walikuwa na project nyngne kujenga financial hub upanga itayocost 500mil usd ,na pia wana proposal kujenga tower nying kama independence ,1088na makutano trading
ichoboy01 kasema wamesha resume na hiyo project. Weekend hii nitaenda kuchukua picha ya progress na niweze kujua status ya project hiyo.