Kweli hii "density ya ghorofa tano" itachukua upperhill miaka 20 mbavu zangu😀😀😀😀😀😀part of new buildings in kijitonyama
View attachment 766377
hehehe kijitonyama
View attachment 766378![]()
Wakenya wenyewe hawaipi support kampuni yao ya zuku, gotv, dstv, startimes zimewashika.... gotv hajathubutu kuja bongo maana katika research yake amegundua terrestial huku ilishawashinda startimes, continental, ting na hata ila kampuni ya ipp, tz ni kubwa bwana miji imetanuka hatujarundamana kama kuku pamoja so unahitaji mitambo mikubwa ku cover watumiaji wachache....kwan azam tv anafanya nn kenya???😀😀😀
kwa taarifa yako zuku kwa tanzania kashafeli kitambo ndio maana anataka kuuza kampuni kwa mtanzania hehe kuna ushindani mkali sna wakibisashara
Nenda mombasa ukaone sio kuja tu na takwimu za kujipangia chumbani kwakoHahaha aty azam TV... My friend I can assure you 0% of Kenyans watch azam TV hata MIMI siijui
Lupita ana product gani? Nae atachuja siku moja ana kitu gani cha kuendelea kukaa mjini?Aty Energy drink na watu KAMA KINA LUPITA WANATOA BLACK PANTHER!! [HASHTAG]#ORIGINAL[/HASHTAG] COPY IMOTOKEA YOU NEED TO WATCH IT
uheheheh lia tu sina cha kukusaidia kwenye kilio chako😀😀😀😀😀😀 ilala ina density kubwa kuliko upperhillKweli hii "density ya ghorofa tano" itachukua upperhill miaka 20 mbavu zangu😀😀😀😀😀😀
Ila kuwa na dish la zuku lazima utakua unaangalia Kenya TVs. Ama kweli failed state ni ugonjwa usiokua na tibaKua na dish ya azam TV does not mean that you watch azam TV ,my friend style up.
wewe ndiyo haujui na haujalazimishwa kujua ila kuna wakenya wanzako wanaijua
halafu unashangaza watu kama kitu haukijui kwanini unachangia changia hoja kuhusu azam tv siukae kimya tu ...punde kunapotokea hoja ya kitu unachokijua ndiyo uchangie
kwa taarifa nakupa azam tv studio is the modern studio in east and central africa kama unabisha sema tu😀😀Azam TV is just like another mediocre known as cloud TV ,,their studio is the size of my store,nilishangaa kuona watu wawili wamejifinya kwa kiketi kimoja eti analyst,afu advert ni moja tu cocacola.for sure I cursed myself for having turned on that channel to watch asshole journalists.
Twendelee kufurahia Density 😀😀😀😀😀uheheheh lia tu sina cha kukusaidia kwenye kilio chako😀😀😀😀😀😀 ilala ina density kubwa kuliko upperhill
Ila kuwa na dish la zuku lazima utakua unaangalia Kenya TVs. Ama kweli failed state ni ugonjwa usiokua na tiba
Kenya ranked as 'failed state'
Nenda mombasa ukaone sio kuja tu na takwimu za kujipangia chumbani kwako
uhahahah hasira zimekushika zile pic za kijitonyama hutaki kuziona😀😀😀😀😀Twendelee kufurahia Density 😀😀😀😀😀View attachment 766393 View attachment 766395 View attachment 766396 View attachment 766398
Wewe vipi, the fact that Kenya wanatumia Azam decoders inatonya kuonyesha strength ya Azam as a company and Tanzania as a country, kinachotokea humo majumbani kama wanaangalia au hapana, hiyo inabaki kuwa speculations ambazo huwezi kuzithibitisha bila kufanya research, but so long as you see Azam dishes on top of buildings, is a pro indicator that many people do watch Azam TV.What am trying to say is that azam decoder has so many channels ,actually 95% will be Kenya's channel ,so having it does not oblige you to watch azam TV,understood?.
Ila kuwa na dish la zuku lazima utakua unaangalia Kenya TVs. Ama kweli failed state ni ugonjwa usiokua na tiba
Kenya ranked as 'failed state'
Can you please give evidences on this?Zuku ina support kubwa sana ,especially when it comes to internet data,they have invested heavily in that sector second after safari com.