Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Can you please give evidences on this?
Hata huna habari kua zuku ina service ya internet data?,,,,,Google is there you can search for yourself dude ,I don't have to spoon feed.
Can you please give evidences on this?
Kuwa na internet data ndiyo kuwa na support kubwa, wewe lete ushahidi unaoonyesha kwamba Zuku ina support base kubwa kuliko Azam kwa Kenya na Tanzania.Hata huna habari kua zuku ina service ya internet data?,,,,,Google is there you can search for yourself dude ,I don't have to spoon feed.
cloudz tv kwa upande wa studio bado ni wachanga ondoa shaka kwa hilo taratibu watachangeAzam TV is just like another mediocre known as cloud TV ,,their studio is the size of my store,nilishangaa kuona watu wawili wamejifinya kwa kiketi kimoja eti analyst,afu advert ni moja tu cocacola.for sure I cursed myself for having turned on that channel to watch asshole journalists.
Sasa mbona unalia lia tufurahie "density" ya kijitonyama😀😀😀😀😀uhahahah hasira zimekushika zile pic za kijitonyama hutaki kuziona😀😀😀😀😀
Studio yao ili ungua mkuu.. bila shaka watukuja na kishindocloudz tv kwa upande wa studio bado ni wachanga ondoa shaka kwa hilo taratibu watachange
Siyo East n central tu, ile its one of its kind in Africa. Top wa BBC ali itembelea akasema ajawahi ona kitu kama kile Africa. Au wewe fanya kautafiti kwa kuangalia SABC na stesheni zingine za Africa then linganisha. Zaidi ya Tsh 40b ilimwagwa pale. Mitambo ya mule ni first class achana na uchafu wa KTN na K24kwa taarifa nakupa azam tv studio is the modern studio in east and central africa kama unabisha sema tu😀😀
ipo....mpya.......ila kwa upande wa tv ndiyo kidogo hawajakomaa ila kwa upande wa studio ama kuwa kuwa na studio jengo la tv lililoshibaStudio yao ili ungua mkuu.. bila shaka watukuja na kishindo
Mkuu wewe labda hii ilikupita, achana na kitega uchumi baada ya kuamia Mikocheni walipata janga la moto pia, sina hakika ni lini ila haijapita miezi 6, studio yao ya kutangazia habari n.k ili ungua. Baada ya hapo siku izi habari zao wanatangaza kwenye ki ofisi. Hopefully watajenga bora kuliko ile ya mwanzo kwa sababu na yenyewe ilikua ya kawaida nazani ndiyo sababu wana take longipo....mpya.......ila kwa upande wa tv ndiyo kidogo hawajakomaa ila kwa upande wa studio ama kuwa kuwa na studio jengo la tv lililoshiba
Usiwahi tena ongea kuhusu upperhill, anasikia? Upperhill inacheza big boy legue na hiyo kijiko na nyama inacheza ligi ndogounaleta evidense ambayo ni mawazo ya mtu hata mm naeza post video youtube kulingana na mawazo yangu
usiwe bogus kiasi hicho basi😀😀😀😀
HA!! KICKS OF A DYING HORSE...KWANZA HATA SIELEWI UNASEMA NINI BUDA GET LOST HAKUNA MPIRA UNAJUA WEWEnilitegemea hicho kutoka kwako lazima ubwabwaje...kila mchezaji anaplay part yake si lazima wawe kama wanyama sijui waminofu....wapo wabongo kibao tu huyo waminofu ni mkimbizi tu
kwanza hata soccer lenyewe inaelekea haulifahamu wewe hata kudadavua hauwezi huyo player wenu hana mashiko kashapotea kwanza huwa hanivutii uchezaji wake niwskawaida sana hata mzee ojwani tukimuweka kwa ground inawezekana akampita r.i.p
eti wanyama ni wa aina gani sasa hii ama ni wanyama aina ya monkey...jina lake lenyewe halina explanation nzuri![]()
View attachment 766286View attachment 766287
NYINYI WATU WA TZ NI KULAANIWA MLILAANIWA?? AMA NINI?? EBU MR GOOGLE Tallest BUILDING IN EAST AFRICA ALAFU AFRICA 2018 AMA KAMA BADO HUELEWI!!? BASI PANDA TUKTUK UJE NAIROBI UKONDOE MACHO KAMA WENZAKOunaleta evidense ambayo ni mawazo ya mtu hata mm naeza post video youtube kulingana na mawazo yangu
usiwe bogus kiasi hicho basi😀😀😀😀
yaani wew ndiyo mkenya wakwanza unayezidi kuonyesha ujinga wako...hizo ishu za building zilushazungumziwa mda sana nakila kitu kinaeleweka na wenzako wa mwanzo wa thread wenye maarifa kuliko wewe wanajua kila kitu kuhusu jengo lililo top kwa huu ukanda......ndiyo maana unajikuta ukichangia mawazo yako yakipuuzi pasipo kupewa support yeyote ile na wenzako zaidi atakuja ty yule mpuuzi mwenzako mzee wakubottaNYINYI WATU WA TZ NI KULAANIWA MLILAANIWA?? AMA NINI?? EBU MR GOOGLE Tallest BUILDING IN EAST AFRICA ALAFU AFRICA 2018 AMA KAMA BADO HUELEWI!!? BASI PANDA TUKTUK UJE NAIROBI UKONDOE MACHO KAMA WENZAKO
hapo sawa kumbe unazungumzia ya miezi kadhaa iliyopita hapo upo sawa hiyo naipata.....dah sorr bloodMkuu wewe labda hii ilikupita, achana na kitega uchumi baada ya kuamia Mikocheni walipata janga la moto pia, sina hakika ni lini ila haijapita miezi 6, studio yao ya kutangazia habari n.k ili ungua. Baada ya hapo siku izi habari zao wanatangaza kwenye ki ofisi. Hopefully watajenga bora kuliko ile ya mwanzo kwa sababu na yenyewe ilikua ya kawaida nazani ndiyo sababu wana take long
Watu WENGI KENYA WAKO NAIROBI CITY COUNTY WACHA JOKES NANI ANAEZA WEKA ATY AZAM NAIROBI HERI BAMBA TV SASA MOSTLY NI GO TV NA ZUKU AZAM SIJAWAI ONAnenda mombasa na pwani nzima ya kenya kaulize azam tv watakwambia wenyewe kipindi natoka lungalunga nilikutana na kila nyumba juu kua dish ya azam tv nilifurahi sana
HAHAHAHHA aty azam?? Hio kenya inarankiwa na Local radio channels Kama inoroo.... Mulembe na Aviation TVAzam TV is just like another mediocre known as cloud TV ,,their studio is the size of my store,nilishangaa kuona watu wawili wamejifinya kwa kiketi kimoja eti analyst,afu advert ni moja tu cocacola.for sure I cursed myself for having turned on that channel to watch asshole journalists.
Sisi mbona Kq inachana Mumbai kwa miaka na hatusumbui watu humu? Aki Ldc mna maneno!!Aiseeeeeeh!
Can't wait to see our dream liner ikichana mawingu kutoka the land of Africa highest and deepest point mpaka Kwa kina kuch kuch otae!
View attachment 766582
swadaktaAiseeeeeeh!
Can't wait to see our dream liner ikichana mawingu kutoka the land of Africa highest and deepest point mpaka Kwa kina kuch kuch otae!
View attachment 766582
Unajua maana ya Grade A offices buda?? Ama ni shule ulisomea Kigomanaisitoshe nivioffice vidogo vodogo tu wenyewe wanaitabig compan