Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zuku ilisha fail kitambo in tz, complete set now is only 59,000/=, dstv (another failer 99,000/=) but azam 150,000/= na anauza balaa kampuni zenu zipo ila zapumulia mashine njooni mzichukue
tayari kashaamua kumuuzia mafuruki😀😀
biashara imemshinda😛😛😛😛
47AEC3C7-84A9-4DAC-B12E-84340EBE3760.jpeg
 
Upanga imetulia sana ...
Upanga kuna muhimbili national hosp,Auramall , apartment nyingi sana,international and local schools, universities like Mzumbe cumpus ya Dar. ..private hosp kama regency and the like...hotels Za kisasa pamoja na clubs na casino zakibabe...baadhi ya balozi pia zimo na nyumba Za ibada ,kumbi kama diamond jubilee nk View attachment 765821View attachment 765823
Ebu nipe hii picha upande bahari?kwa huu upande mkavu limechoka sana😀😀😀
 
Nyinyi mna mambo mengi mazuri tu lakini hiyo haijawazuia kuwa LDC
ndio tumeanza sasa kutumia resources baada kuhakikisha watoto wakitanzania wanesoma wanaeza kushika kazi sasa ikiwa ni just 10 yrs munaanza kulia unategemea 20 yrs mutakua salama????
 
Alikiba ameamua kufungua kiwanda chake cha kutengeneza energy drink na soon zinaanza kuja kenya
so tunawaombeni wakenya mukae mkao wa kula
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
9AC9F97C-CD2D-4681-8CF5-0DA44490CC54.jpeg
 
so uneamua kujipa matumaini???😀😀😀
Kenya tuna upperhill ambayo ina the second and fourth tallest buildings in Africa. Na the tallest inakuja online 2021. Wewe baki hapo na dharau ya upperhill. Hapa East Africa na hata west Africa hakuna eneo inayo majengo marefu kushinda upperhill. (Both completed and underconstruction).
 
kwan azam tv anafanya nn kenya???😀😀😀
kwa taarifa yako zuku kwa tanzania kashafeli kitambo ndio maana anataka kuuza kampuni kwa mtanzania hehe kuna ushindani mkali sna wakibisashara
Hahaha aty azam TV... My friend I can assure you 0% of Kenyans watch azam TV hata MIMI siijui
 
so uneamua kujipa matumaini???😀😀😀
Big international companies come in only one city in east Africa [HASHTAG]#Nairobi[/HASHTAG] the only city with grade A offices in east Africa.... Dar labda mshindane na mombasa Nairobi sio level yenyu
 
Tz ni BRANCH NDOGO YA KENYA NURSE AKITOKA KENYA ANAKUWA DOCTOR HUKO SO CHILLAXX KENYA NDIO ECONOMIC DOG YA EAC TUKIKOHOA MNAHAMA
Hahahahahahahahahahaha, kama kawaida propaganda za Jubilee kuchora barabara neno BRT na kusema Kenya imepata BRT ndefu kuliko Tanzania na wapumbavu wakaamini. Kweli Kenya ni failed state
Kenya ranked as 'failed state'
 
Big international companies come in only one city in east Africa [HASHTAG]#Nairobi[/HASHTAG] the only city with grade A offices in east Africa.... Dar labda mshindane na mombasa Nairobi sio level yenyu
Big international companies zimewasaidiaje kupunguza umasikini hapo Nairobi?
1)Nairobi inaongoza kwa uchafu
2)Big slums
3)Unemployment
4)Crime
5)Ukosefu wa maji
6) Very primitive public transport
7) Majority of its people can't afford two meals a day
Zaidi ya sifa za kijinga ambazo Kenya inajulikana kwa kupenda sifa, hizo international offices zimewasaidia kitu gani?
 
Kenya tuna upperhill ambayo ina the second and fourth tallest buildings in Africa. Na the tallest inakuja online 2021. Wewe baki hapo na dharau ya upperhill. Hapa East Africa na hata west Africa hakuna eneo inayo majengo marefu kushinda upperhill. (Both completed and underconstruction).
ikwapi hio building tuoneshe??? maana leo nahamu sana yakucheka😀😀😀😀😀😀😀
nasubiri unioneshe leo nahamu yakucheka maana kucheka ni afya

upper hill kuifikia density ya kijitonyama itakuchukueni 20 yrs eat that na ushibe😛😛😛
 
Big international companies come in only one city in east Africa [HASHTAG]#Nairobi[/HASHTAG] the only city with grade A offices in east Africa.... Dar labda mshindane na mombasa Nairobi sio level yenyu
hehehe ndio mwisho wa akili yako sasa nieleze hzo big companies zimesaidia vp kupunguza ajira???ikiwa unenployment rate in kenya is 40%
 
Mbona ninyi ni failed state, lini mtatoka huko?
Kenya ranked as 'failed
ikwapi hio building tuoneshe??? maana leo nahamu sana yakucheka😀😀😀😀😀😀😀
nasubiri unioneshe leo nahamu yakucheka maana kucheka ni afya

upper hill kuifikia density ya kijitonyama itakuchukueni 20 yrs eat that na ushibe😛😛😛
I am not talking about density ya kijiko na nyama. I am talking about height of buildings.
 
Tz ni BRANCH NDOGO YA KENYA NURSE AKITOKA KENYA ANAKUWA DOCTOR HUKO SO CHILLAXX KENYA NDIO ECONOMIC DOG YA EAC TUKIKOHOA MNAHAMA
Haha sasa nurse anakua doctor wap?wakat job description yake niuuguzi ?usiwe kama ulipoteza muda wako shule
 
I am not talking about density ya kijiko na nyama. I am talking about height of buildings.
yani britam unaeza ita jengo refu east africa we akili yako iko sawa???😀😀😀😀😀
density is one the main factor yaku determine development of the place 😛😛😛😛😛
au unataka turudishane shule ????
 
Back
Top Bottom