Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

east african giants
9FC47994-C437-4607-B318-7387C825E774.jpeg
 
ikwapi hio building tuoneshe??? maana leo nahamu sana yakucheka😀😀😀😀😀😀😀
nasubiri unioneshe leo nahamu yakucheka maana kucheka ni afya

upper hill kuifikia density ya kijitonyama itakuchukueni 20 yrs eat that na ushibe😛😛😛
Mimi sio mtu wa kusema vitu bila evidence. Sasa sijui unabisha kuwa upperhill haina the fourth and second tallest buildings in Africa ama unajaribu kutuambia nini? Anyway ndio hii video, chock on that. Fuata link
 
Hii team ndogo ndio mnajichocha NAYO na hata labda huyu player hajulikani hukula Bench KILA siku. Aty Yusuf?? Hahaha ukiuliza Yusuf ninani hakuna mwenye anamjua lakini SEMA WANYAMA [HASHTAG]#TEAM[/HASHTAG] KUBWA. TENA AKO NA VALUE.. YUSUF NDIO NANI SASA...and BY THE WAY... KWA BUNDASLIGA NI TEAM MOJA TU YA MAANA [HASHTAG]#BAYERN[/HASHTAG] NA LABDA DVB.... I DARE YOU TO SHOW ME PLAYER AKO EPL AMA LALIGA... SISI TUKO NA ZOTE MBILI Na tena sio WA TZ... SO UNATAKA TUANZE KUEKA KINA DIVOK...?? HAPA HAMUEZANI WANYAMA NA OLUNGA WOTE NI WAKENYA WAPI WENYU WA TZ??
nilitegemea hicho kutoka kwako lazima ubwabwaje...kila mchezaji anaplay part yake si lazima wawe kama wanyama sijui waminofu....wapo wabongo kibao tu huyo waminofu ni mkimbizi tu

kwanza hata soccer lenyewe inaelekea haulifahamu wewe hata kudadavua hauwezi huyo player wenu hana mashiko kashapotea kwanza huwa hanivutii uchezaji wake niwskawaida sana hata mzee ojwani tukimuweka kwa ground inawezekana akampita r.i.p

eti wanyama ni wa aina gani sasa hii ama ni wanyama aina ya monkey...jina lake lenyewe halina explanation nzuri
unnamed.jpg
6a01053620481c970b01b7c7617a9f970b-600wi%20(1).jpg
 
yani britam unaeza ita jengo refu east africa we akili yako iko sawa???😀😀😀😀😀
density is one the main factor yaku determine development of the place 😛😛😛😛😛
au unataka turudishane shule ????
Wachana na maneno ya density. Hio tuta argue kesho. Kwa sasa tuko kwa height ya buildings. By the way hata kama Dar ina density kubwa kushinda Nai, i don't care, congratulations for having high density with very short buildings😛😛
 
Mimi sio mtu wa kusema vitu bila evidence. Sasa sijui unabisha kuwa upperhill haina the fourth and second tallest buildings in Africa ama unajaribu kutuambia nini? Anyway ndio hii video, chock on that. Fuata link

unaleta evidense ambayo ni mawazo ya mtu hata mm naeza post video youtube kulingana na mawazo yangu
usiwe bogus kiasi hicho basi😀😀😀😀
 
nimekwambia density is one of the main factor yaku determine development of a certain area na huo ndio ukweli yani upperhill bado sana mutafanya kazi sana
 
Hii ni team ndogo SANA... Hahaha alafu unataka ku mcompare na Wanyama & By the way tuko na WENGINE [HASHTAG]#Olunga[/HASHTAG] The man who scored a Hart trick [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG] [HASHTAG]#Currently[/HASHTAG] the Best player in East Africa!! *Original Club:GOR MAHIA!!!
unabwabwaja sana...hebu nipe mchezaji yeyote yule wa kenya aliyewshi kunyakua tuzo kama hii halafu ndiyo tuendelee

Kenya tuna upperhill ambayo ina the second and fourth tallest buildings in Africa. Na the tallest inakuja online 2021. Wewe baki hapo na dharau ya upperhill. Hapa East Africa na hata west Africa hakuna eneo inayo majengo marefu kushinda upperhill. (Both completed and underconstruction).
acha upuuzi............
 
Hahaha aty azam TV... My friend I can assure you 0% of Kenyans watch azam TV hata MIMI siijui
wewe ndiyo haujui na haujalazimishwa kujua ila kuna wakenya wanzako wanaijua

halafu unashangaza watu kama kitu haukijui kwanini unachangia changia hoja kuhusu azam tv siukae kimya tu ...punde kunapotokea hoja ya kitu unachokijua ndiyo uchangie
 
hehehe ndio mwisho wa akili yako sasa nieleze hzo big companies zimesaidia vp kupunguza ajira???ikiwa unenployment rate in kenya is 40%
naisitoshe nivioffice vidogo vodogo tu wenyewe wanaitabig compan
 
unaleta evidense ambayo ni mawazo ya mtu hata mm naeza post video youtube kulingana na mawazo yangu
usiwe bogus kiasi hicho basi😀😀😀😀
Muwekee ile video ya ufunguzi wa jengo la TPA ambapo walikuwepo Magufuli na Joseph kabila, ambapo Magufuli alisema hili ndilo jengo refu kuliko yote katika ukanda huu wa east and central Africa, sasa kati ya rais wa nchi nw hizo video zisizojulikana sources zake, nani is more likely kuzungumza ukweli?
 
achana nae huyo bado anautoto kichwani mwake akikua atafahamu tu
 
Mimi sio mtu wa kusema vitu bila evidence. Sasa sijui unabisha kuwa upperhill haina the fourth and second tallest buildings in Africa ama unajaribu kutuambia nini? Anyway ndio hii video, chock on that. Fuata link
nyie wakenya kweli ndimu leo wacha nicheke muundaaji wa hiyo video clip na
wewe wote ni machizi.....

wakenya mshaanza kuingia kwa video lab na kucreate video files kulingana na emotion zenu
 
IMG_20180505_111423.jpg
ikwapi hio building tuoneshe??? maana leo nahamu sana yakucheka😀😀😀😀😀😀😀
nasubiri unioneshe leo nahamu yakucheka maana kucheka ni afya

upper hill kuifikia density ya kijitonyama itakuchukueni 20 yrs eat that na ushibe😛😛😛
mwenye macho haabiwi tazama liganisha hizi picha mbili😀😀😀😀
tapatalk_1525431933579.jpeg
 
nenda mombasa na pwani nzima ya kenya kaulize azam tv watakwambia wenyewe kipindi natoka lungalunga nilikutana na kila nyumba juu kua dish ya azam tv nilifurahi sana

Kua na dish ya azam TV does not mean that you watch azam TV ,my friend style up.
 
Back
Top Bottom