Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

51363BC4-627F-4D39-8C56-65EC81E48F30.jpeg
 
Sisi mbona Kq inachana Mumbai kwa miaka na hatusumbui watu humu? Aki Ldc mna maneno!!
Acha Mumbai [HASHTAG]#Direct[/HASHTAG] flights to The USA na hatupigi MDOMO.... Unajua Kenyans are Very reasonable people... Tumejieka kwa level ya Tz ju hii forum ni yenyu lakini You are so Lucky this is not Twitter ama Nairaland... Sijui mungesema NINI nyinyi... Post zimewekwa hapa za Nairobi ni 40% Nairobi ni BIGGY sana intact too big that hio Kibera mnalialia hapa iko na section ya wadosi [HASHTAG]#Kibra[/HASHTAG] na bado places Kama Karen na Runda zijawekwa.... Hya!!
 
Usiwahi tena ongea kuhusu upperhill, anasikia? Upperhill inacheza big boy legue na hiyo kijiko na nyama inacheza ligi ndogo
hehehe kijitonyama unawaumiza nje nje hapo sijagusa CBD, upanga na karikoo😀😀😀😀 yani kote ni pamoto
 
NYINYI WATU WA TZ NI KULAANIWA MLILAANIWA?? AMA NINI?? EBU MR GOOGLE Tallest BUILDING IN EAST AFRICA ALAFU AFRICA 2018 AMA KAMA BADO HUELEWI!!? BASI PANDA TUKTUK UJE NAIROBI UKONDOE MACHO KAMA WENZAKO
bishana na mm kwa vigezo 😀😀😀😀
kama unayo official source leta hapa usiniletee mawazo ya watu😛😛😛
 
Sisi mbona Kq inachana Mumbai kwa miaka na hatusumbui watu humu? Aki Ldc mna maneno!!
Acha Mumbai [HASHTAG]#Direct[/HASHTAG] flights to The USA na hatupigi MDOMO.... Unajua Kenyans are Very reasonable people... Tumejieka kwa level ya Tz ju hii forum ni yenyu lakini You are so Lucky this is not Twitter ama Nairaland... Sijui mungesema NINI nyinyi... Post zimewekwa hapa za Nairobi ni 40% Nairobi ni BIGGY sana infact too big that hio Kibera mnalialia hapa iko na section ya wadosi [HASHTAG]#Kibra[/HASHTAG] na bado places Kama Karen na FUNDA zijawekwa.... Hya!!
And DID YOU KNOW THAT NAIROBI IS THE ONLY CITY IN THE WORLD WITH A WILD NATIONAL PARK
 
Acha Mumbai [HASHTAG]#Direct[/HASHTAG] flights to The USA na hatupigi MDOMO.... Unajua Kenyans are Very reasonable people... Tumejieka kwa level ya Tz ju hii forum ni yenyu lakini You are so Lucky this is not Twitter ama Nairaland... Sijui mungesema NINI nyinyi... Post zimewekwa hapa za Nairobi ni 40% Nairobi ni BIGGY sana intact too big that hio Kibera mnalialia hapa iko na section ya wadosi [HASHTAG]#Kibra[/HASHTAG] na bado places Kama Karen na FUNDA zijawekwa.... Hya!!
ikeapi direct flight to US mushaanza au mpaka mwez wa 10 😀😀😀😀 bogus kweli wewe
 
Acha Mumbai [HASHTAG]#Direct[/HASHTAG] flights to The USA na hatupigi MDOMO.... Unajua Kenyans are Very reasonable people... Tumejieka kwa level ya Tz ju hii forum ni yenyu lakini You are so Lucky this is not Twitter ama Nairaland... Sijui mungesema NINI nyinyi... Post zimewekwa hapa za Nairobi ni 40% Nairobi ni BIGGY sana intact too big that hio Kibera mnalialia hapa iko na section ya wadosi [HASHTAG]#Kibra[/HASHTAG] na bado places Kama Karen na FUNDA zijawekwa.... Hya!!
And DID YOU KNOW THAT NAIROBI IS THE ONLY CITY IN THE WORLD WITH A WILD NATIONAL PARK
who told you??? mwanza has the national park also kasome usiwe mjinga 😀😀😀😀 elimu ni pana soma uelimike alaf angalia vzr maelezo yangu alaf soma na yako uone yanafanana
CB5BFAB3-E406-4EA8-A359-B7DA4732F302.jpeg
 
Acha Mumbai [HASHTAG]#Direct[/HASHTAG] flights to The USA na hatupigi MDOMO.... Unajua Kenyans are Very reasonable people... Tumejieka kwa level ya Tz ju hii forum ni yenyu lakini You are so Lucky this is not Twitter ama Nairaland... Sijui mungesema NINI nyinyi... Post zimewekwa hapa za Nairobi ni 40% Nairobi ni BIGGY sana infact too big that hio Kibera mnalialia hapa iko na section ya wadosi [HASHTAG]#Kibra[/HASHTAG] na bado places Kama Karen na FUNDA zijawekwa.... Hya!!
And DID YOU KNOW THAT NAIROBI IS THE ONLY CITY IN THE WORLD WITH A WILD NATIONAL PARK
just 2km from the city bogus wewe soma elimu haina mwisho boya wewe😀😀😀😀
AA26371E-E5BB-42C9-AF63-E13464CB019C.jpeg
 
wikipedia hata mm naeza kubadilisha its just simple😀😀😀😀😀😀😀 tafuta official source uniletee hapa tuzungumze
Official Source gany unajua imeshinda Wikipedia nkt!! Acha ushamba bana WIKIPEDIA HU UPDATIWA KILA MARA AND IT IS THE MOST RELIABLE EBU NI PROVE WRONG KAKA KAMA KUNA BUILDING TZ WHICH IS THE TALLEST IN EAST AFRIKA NA NGOJA
 
EBU WATU WA TZ NIPEENI KAMPUNI YA MTANZANIA IMEKARIBIA SPORT PESA YA KENYA [HASHTAG]#WORLD[/HASHTAG] CLASS COMPANY!! acha leo niwachokoze direct!!
 
Acha Mumbai [HASHTAG]#Direct[/HASHTAG] flights to The USA na hatupigi MDOMO.... Unajua Kenyans are Very reasonable people... Tumejieka kwa level ya Tz ju hii forum ni yenyu lakini You are so Lucky this is not Twitter ama Nairaland... Sijui mungesema NINI nyinyi... Post zimewekwa hapa za Nairobi ni 40% Nairobi ni BIGGY sana intact too big that hio Kibera mnalialia hapa iko na section ya wadosi [HASHTAG]#Kibra[/HASHTAG] na bado places Kama Karen na Runda zijawekwa.... Hya!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
EBU WATU WA TZ NIPEENI KAMPUNI YA MTANZANIA IMEKARIBIA SPORT PESA YA KENYA [HASHTAG]#WORLD[/HASHTAG] CLASS COMPANY!! acha leo niwachokoze direct!!
hebu nawewe tunaomba kwanza profile ya mmiliki wa sportpesa inayoonyesha uthibitisho kama mmiliki mkuu ni mkenya
 
SPORT PESA IS A KENYAN COMPANY NDUGU... OWNED BY ASENACH WACHIRA MAINA ACHA UPUZZI... Na bado sija include M pesa.... I tell you IKIFIKA KWA TECHNICAL INOVATION AND BUSINESS HAMTUWEZI... NAIROBI IS THE MOST INTELLIGENT CITY IN AFRICA KAMA HUJUI.... CHEZENI KWA UTALII LABDA
 
SPORT PESA IS AKENYAN COMPANY NDUGU... OWNED BY ASENACH WACHIRA MAINA ACHA UPUZZI
lete uthibitisho ..........hapa mezani

halafu si kila mfanyabiashara awe ni biashara ya mtindo wa beting .....kuna vitu vingi sana vya kufanya.....na vikawaingizia watu pesa

haya sasa lete evidence hapa kiroho safi
 
Back
Top Bottom