Ni aibu nchi ya watu milioni 55 but talanta ni zero...
Hivi ni nini mko better than other east africa countries?
Jumla zilikuwa ndege ndogo 16
Halooooo tumepiga mkwanja mzeeJumla zilikuwa ndege ndogo 16
Umeludi jipangeHiyo unayonilazimisha nisome ni ya Somalispot? 😀
yaani hiyo ya kenya ametokea kama zomb..heheh jana nimecheka sana kumbe wakenya hata kujipamba hamjui mwangalieni dada yenu alivopambambwa akiwa bongo😀😀😀😀
View attachment 762256
Wewe jamaa huwa unamatatizo yakufikili. Nisawa na sisi tuanze ku quote Kenya talkNa wengine wapo huru kusema ukweli.
watakuambia city of inflastructure
wewe si bure unauchizi......inaelekea hata kwenye ushabiki wa mpira haupo........hilo swali kaulize club zenu watakujuza...Kombe la mapinduzi ndio gani?
cecafa ama

kabisa hawana akili wakenya.....Best under 17 football squad
Music
Movies
Niko JF mbona nisiquote JF?Wewe jamaa huwa unamatatizo yakufikili. Nisawa na sisi tuanze ku quote Kenya talk
Moto nitauwanzisha mimi wa Kenya talk humu
This doesnt prove shit,we suck in football so do you,mkishinda afcon sasa ndio mseme ur good in footballUna maswali mengi!! Yote unaweza pata majibu from Prof google acha uvivu. Ila for the mean time wewe jua talent has never been a problem in Tz and it will never be. Last year timu ya wanawake wa Tz ili ifunga kenya in finals za Cecafa, Last FIFA match Tz na Kenya walivyo meet early last year hapo Nairobi game ili isha kwa draw Wanyama akiwemo. This year vijana wetu wa U16 wame wachapa U17 wenu uko Burundi. Halafu una piga kelele as if Kenya is Spain! We have just eliminated Congo and we are to meet Mali in U20, last year our U17 made it to Afcon and was a blink away to go the world cup. Next year tuna host Afcon U17 na hiyo timu iliyo wachapa uko Burundi ndiyo itashiriki all those boys are U16 and they went all the way to lift the trophy. FIFA rankings zina badilika, so many times Kenya imekua nyuma ya Tz. At one time Tz ilisha kua ndani ya top 60 in the world. Lets get back to club football, Yanga Vs Gor and Gor Vs Yanga stay tuned. BTW Azam Tv will broadcast those matches live. Get your decorder now
No, if you win Afcon you are bad in football. One needs to win KPL to be good in footballThis doesnt prove shit,we suck in football so do you,mkishinda afcon sasa ndio mseme ur good in football
waulize Grmahia walio shirikiKombe la mapinduzi ndio gani?
cecafa ama
mpira na netball tuliwachia waganda hao ndio tunajua wako sawa hapo...wewe si bure unauchizi......inaelekea hata kwenye ushabiki wa mpira haupo........hilo swali kaulize club zenu watakujuza...![]()
![]()
![]()
sasa bus za 15million za maana huku shule za high school wanamiliki ndio mnajigamba mko juu...waulize Grmahia walio shiriki
Timu inatumia Basi toleo la 1970
Kwenye Mbio Sina ubishimpira na netball tuliwachia waganda hao ndio tunajua wako sawa hapo...
sisi tupate kwa Rugby,volleyball,athletics,kibabi,swimming
music hapo mnajaribu....Best under 17 football squad
Music
Movies
Hivi Wana Makao makuusasa bus za 15million za maana huku shule za high school wanamiliki ndio mnajigamba mko juu...