Yale mashindano timu za Tz waliweka vikosi vya pili kwa sababu ligi ilikua imeshaisha na ma pro wapo likizo and the notice was short kuwaita. Timu za Tz zina ratiba nenda kawaulize Mamelodi sundowns wakiwa mabingwa wa Africa walikuja mwaka jana kutaka kucheza friendly matches bila taharifa waliondoka kama walivyo kuja. Ila usijali hao Gor Mahia watakutana na Yanga very soon then tuta bonga vizuri. Mchezaji yoyote wa Gor atakaye jituma akicheza na Yanga msimu mjao hamtakua nae, its well known Tz teams pay highest salaries in the region.
Sent from my SM-J110H using
JamiiForums mobile app