ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ndio maana hua nasema ukitoka nje ya nairobi utaona vituko sanaBasi mtihani
Mie hunipitishi hapo
ndio maana hua nasema ukitoka nje ya nairobi utaona vituko sanaBasi mtihani
Mie hunipitishi hapo
Wewe ni wapi unajua nje ya Nairobi? Punguza mdomo kaya, Mombasa better than mwanza, kisumu better than Arusha. Hizo town zenu zingine ni bogus hakuna haja ya kutaja hata.ndio maana hua nasema ukitoka nje ya nairobi utaona vituko sana
UmepanicWewe ni wapi unajua nje ya Nairobi? Punguza mdomo kaya, Mombasa better than mwanza, kisumu better than Arusha. Hizo town zenu zingine ni bogus hakuna haja ya kutaja hata.
Huyo jamaa hiyo point yake ni muda mrefu ameikomalia.. bora ume mnyoosha nilikua nasoma naku tikisa kichwa tu. Saa nyingine ana kwambia "Tz wanategemea kupata bullet train ya mizigo wakati hamna duniani" sasa sijui huwa ana maana ganiJay yeye anapinga na anajaribu kuonyesha kwamba Kenya SGR is mainly intended for cargo that's why mliamua kujenga diesel badala ya electric, yeye anadai kwamba for cargo train, diesel engine is better than electric ones. Ukitaka kujua kwamba ni mtu wa ajabu, eti anadai kwamba electric locomotive ni nzuri tu kwa light trains na passenger trains because of the speed, but can't pull heavier cargo wagon, jaribu kufuatilia posts zake utacheka sana.
better of what??? na je nikikwambia zanzibar is better than mombasa in hotels utabisha??😀😀😀Wewe ni wapi unajua nje ya Nairobi? Punguza mdomo kaya, Mombasa better than mwanza, kisumu better than Arusha. Hizo town zenu zingine ni bogus hakuna haja ya kutaja hata.
munajadili tanzania kwasababu inawaumiza kichwa na kuwanyima usingizi ila mwaka huu magu amewakamata pabaya sana😀😀😀😀Hapa tuko Tanzania tuyajadili haya kwa kina
Hali ya mabenki ni mbaya, kodi yashuka kwa mabilioni. Je, Serikali inatoa wapi pesa kama sekta ya fedha inayumba?
Hapo umeshindwa kujibu sasa tolea hili povumunajadili tanzania kwasababu inawaumiza kichwa na kuwanyima usingizi ila mwaka huu magu amewakamata pabaya sana😀😀😀😀
maneno ya jamii forum heheh😀😀😀Hapo umeshindwa kujibu sasa tolea hili povu
Sauti Kubwa: Kikwete anajilaumu, angemjua vema Magufuli asingempa Urais
karibu tena 😀😀😀😀hamjamboni...naona mnapimana mikojo tu...napita na salamu tu
mbona hzi husoni jamii forumHapo umeshindwa kujibu sasa tolea hili povu
Sauti Kubwa: Kikwete anajilaumu, angemjua vema Magufuli asingempa Urais
Mimi nazisoma zile mbaya kama Hii hapa chini...kumbe Tzee pia mnagawiwa chakula kwa kuwa wazembe...hehehembona hzi husoni jamii forum
News Alert: - Serikali ya awamu ya tano inakubalika na watanzania kwa asilimia 90
heheh maneno ya jamii forum😀😀😀😀😀Mimi nazisoma zile mbaya kama Hii hapa chini...kumbe Tzee pia mnagawiwa chakula kwa kuwa wazembe...hehehe
Rais Magufuli amesema hayo leo April 27, 2018 wakati akifungua barabara ya lami kutoka Dodoma hadi Babati, Manyara yenye urefu wa kilometa 251 ambayo imegharimu Tsh. Bilioni 378.
“Siwezi kuhangaika kutafuta fedha za kujenga barabara, kununua ndege, viwanja, alafu bado nitafute na fedha za kuwanunulia chakula cha bure. Nasema, hakuna chakula cha bure, ambaye hatalima, atakufa njaa,”
“Mvua imeenyeesha miezi yote halafu ije itokee mwezi wa ngapi mseme tunaomba chakula kuna njaa tutakufa nitasema tu kufa. Nawaambia Watanzania wote kuanzia Kongwa mpaka Chato hakuna chakula kitakachogaiwa mwaka huu,” amesisitiza.
Hatujambo hatujui leo umejipanga kwa Matusi ganihamjamboni...naona mnapimana mikojo tu...napita na salamu tu
Hiyo unayonilazimisha nisome ni ya Somalispot? 😀heheh maneno ya jamii forum😀😀😀😀😀
Anatukamata na propaganda zile za tuta, tuki, viwonder😀😀😀Vipi the biggest bank in tazania inategeneza faida ya bilion 31bn na 13bn(pesa ya madafu) in ksh that translate to about ksh1.4bn na ksh590milion respectively ,while the biggest banks in kenya zina hit almost ksh20bn😳😳 Yaani 20times ....hizo benki zenyu zikija huku zitakuwa Sacco's na viosk😀😀😀😀munajadili tanzania kwasababu inawaumiza kichwa na kuwanyima usingizi ila mwaka huu magu amewakamata pabaya sana😀😀😀😀