Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Sababu ya US kuendelea kutumia vichwa vya diseli ni kutokana na gharama kubwa ya kubadilisha mfumo wa zamani.. Hata South Africa na U.S.A bado wanatumia diesel kwa mizigo. Uko very under-exposed kwa mambo ya uchumi ya dunia, kama unadhani eti reli zote za mizigo ni za umeme kwa hivyo wachina wametugonga. Don't expose such ignorance here, give us space to breathe please.
Hata mfumo ya vipimo bado unatumika ule wa Imperial (standard) badala ya metric kwasababu gharama ya kubadilisha ni kubwa.
Sababu ya pili ya kutumia diseli ni ukiritimba (monopoly), makampuni yanayo miliki biashara ya reli US ni machache na hayawezi kujikita katika kuboresha miundombinu (infrastructure) kama hakuna ushindani.
Acha kujisifia malls, haya ni mambo ya kizamani (50s -90s) siku hizi biashara ya vitu vingi inafanyika mitandaoni na kusababisha malls nyingi kufungwa kwa kukosa wateja.Kwa mall wachana nayo. Kenya sisi ndio kusema except South Africa . Fanya research kidogo kabla hujaanza kutuonesha picha ya mall. Infact malls za Kenya mimi nadhani ziko excess because of the size of our middle class.